Kapinga
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 727
- 13
Jamani msaada kwenye tuta hapo... wazee wa uchumi!!
Mtu ana vilaki vyake (maana Tz ni vilaki tu) aweke fixed account au anunue hisa? Nirushie visentensei vichache tu vinisaidie kujua kupi ndiko kujanja... nafikiria ka"analysis" karahisi ili mie ambaye ndo hivyo tena hizo term za uchumi nazikiaga kwenye bunge hapa nielewe!
Mara hisa mara fixed acount,hee! Tusaidieni.
Siao.
Samahani lakini swali lako lipo too open, fixed accounts differ on the interest rates at different banks, hisa unataka kununua kwenye biashara gani au kwenye unit trust?? Zote zinatofautiana na hizo tofauti ndo zitakuwezesha kujua hela yako inaongezeka kiasi gani!! Please be specific and we shall try assist you.
Ps: Keep in mind kwamba Banks work in 'the interest' of its Shareholders and Creditors..Never i repeat Never in the interest of the account holder..when the going gets rough for a bank..kitu cha kwanza kwao kufanya ni kulipa madeni yao..