mkuu umetudharaaaaaaaaaaau sana sisi wakulima eti ehee! Basi kila ukienda chooni kuyapa haja masaburi yako uwe unakumbuka kuwa ni sisi wakulima tunao yanyima raha hayo masaburi yako. Unajua nini? Daktari unamwitaji siku unapoumwa tu, tena wengine wenye afya zao wala hawakumbuki ni lini mara ya mwisho walimwona daktari, lakini sisi wakulima unatuhitaji kila siku kuanzia breakfast unapoamka kutoka kitandani hadi supper unarejea kitandani. "basi kuwa na adabu ujivunze kuheshimu watu"
Hawa magamba wanasumbuliwa sana na ufinyo wa kuelewa na kufikiria mambo na ndo maana wanaishia kutoa kauli za dharau, kejeli na ku intimidate raia. Tutaendelea kidogo kidogo kuwaelimisha ingawaje wana vichwa vigumu lakini matumaini ni kwamba vizazi vijavyo watatuelewa. This current generation of magambas is a lost generation and there is nothing that can be done to help themsafi sana kwa kumfahamisha mambo mazito ambayo hakuwahi kufikiria kabisa kwamba sekta zote zina umuhimu ktk jamii.
Mnajikanganya.safi sana kwa kumfahamisha mambo mazito ambayo hakuwahi kufikiria kabisa kwamba sekta zote zina umuhimu ktk jamii.
Wewe ndio lost cause..hakuna popote nilipoonesha kudharau sekta ya kilimo, ila it is obvious people with less intellect can't see things objectively na kichaa hudhani wanaozunguka ndo vichaa. Kusema 'flani karudi kijijini kulima' huu ni usemi wa kawaida sana pale mtu anapofulia town, sasa hawa madr wenu wa kupasua kichwa badala ya mguu kama wanaona kazi ya udr hailipi , basi milango iko wazi waende kwene kazi wanazoona wao zinalipa, of coz kikiwemo kilimo. Commonsense 101.Hawa magamba wanasumbuliwa sana na ufinyo wa kuelewa na kufikiria mambo na ndo maana wanaishia kutoa kauli za dharau, kejeli na ku intimidate raia. Tutaendelea kidogo kidogo kuwaelimisha ingawaje wana vichwa vigumu lakini matumaini ni kwamba vizazi vijavyo watatuelewa. This current generation of magambas is a lost generation and there is nothing that can be done to help them
Self-important asshole is trying a lil bit too hard..ndo matatizo ya kuja mjini kupitia ujoni kisomo, mkifika town mnadhani wenyeji wenu ni maamuma..FYI mi nkifa kaburi langu litaandikwa DR.ENG. Abdulhaleem bin Juma bin Njelenje, mzawa wa Mzizima, kuzaliwa Ocean Road kukulia Migomigo.Najivunia hata leo nikifa kaburi langu litaandikwa DR wewe ukifa utaandikwa Prof au kuhusu hospitali ya muhi2 ni yetu wewe ukiingia pale ni kungaa macho tu huelewi chochote ni kunynyekea tu na ni maadili yepi ya udk unayoyajua wewe kuliko dk mwenyewe jamani address zipo nyingi zinahitaji madk all ;ver the world wewe mbona husemi hiyo profesional yako
siwezi bishana na wewe naona elimu yako ndogo sana tafuta saizi yako mawazo yako ni ya kiidiot sana
tafuta kazi kwa bidii umekuja mjini kijijini kwenu wanakusubiri ukawaringie
email yangu very unfortunately huwezi ipata siwezi kukupa maana utawaringia wenzako kuwa kuna dk nawasiliana nae na mimi wewe sikujui labda naona unafaa kuwa houseboy wa nyumba yangu lete maombi nitakufikiria kwa kazi hiyo
sina muda wa kubishana na wewe, all the best
Hawa madaktari wengi wao hawamhudumii mtu inavyo stahili bila kuomba hongo. Sasa wana goma !! Je wakipewa hayo marupu rupu wanayotaka mwananch atapewa huduma ipasavyo ?? Pamoja na viapo vyao kufanya kazi kwa maadili ( Hippocratic Oath ) lakini hawa wa bongo ni rushwa tu ndio inawapa motisha la sivyo mgonjwa takufa.
Unafikiri mtu akilipwa vizuri atasumbuka na rushwa au kutoa huduma mbovu?tafakari