shame CCM!

cheeter

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
475
155
i really condemn on what Ccm is doing...since independence, little or gradual progress has been made..it hurts me alot to see Leaders on top embezzle public funds.
jamani hawa viongozi hawajui hata kula na vipofu? ???check how open scandals have been revealed and how serious people are getting into them..I am not a politician but I'm patriotic to my nation.Thus making a follow up on issues concerning politics.
The only idea that CCm holds, is they think they have more time to re-correct themselves..but to be honest people are tired, and are ready to see blood in order to rescue the next generation of Tanzania.
Message! I strongly believe that if we send our vivid ideas or opinions to our respective villages where people are still isolated with current politics..changes must occur..
CCM out!:angry::angry:
 
Why dont you take your time ... learn how to post!...
... Get the difference between face book and Jf
 
Hali ya ufisadi ndani ya CCM iliyosababisha kutokea kwa mabadiliko hayo ilitabiriwa na Hayati Mwalimu Julius Nyerere, alikionya CCM kutoendekeza rushwa.

Katika kitabu chake cha Nyufa chenye hotuba aliyoitoa Machi 13, 1995, Mwalimu Nyerere ametaja nyufa tano zilizoikumba nchi ambapo alisema kuwa ufa wa nne ni rushwa ndani ya CCM na serikali yake.

Mwalimu Nyerere amebainisha kuwa chanzo cha mpasuko ndani ya CCM ni kutokana na viongozi wa chama hicho kukosa maadili na hasa pale kilipoikana misingi ya Azimio la Arusha.

"Kuna miiko ndani ya Azimio la Arusha…, viongozi wetu walikutana Zanzibar wakaona Azimio la Arusha halifai, wakatutangazia na hawakuzungumzia kwamba tumekutana Zanzibar tumeona Azimio la Arusha halifai. Walikuja kimyakimya tukaona wanaanza kufanya mambo ambayo hayafanani na Azimio la Arusha. Wenye akili tukajua limekwisha hilo", anasema Mwalimu Nyerere.

Kwa mujibu wa Mwalimu Nyerere, hakuna serikali popote duniani inayoendeshwa bila miiko. Anazitaja nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na Japan na kusema kuwa zinaendeshwa kwa miiko.

"Kwa hiyo nchi zote zina miiko. Hapa sasa hatuna. Wameacha miiko ya Azimio la Arusha, hawakuweka miiko mingine, sasa ni holela tu," anasema.

Kutokana na hali hiyo, Mwalimu Nyerere anasema kuwa imefungua milango ya rushwa ambayo awali ilikuwa imebanwa. Anakumbushia enzi za TANU ambapo licha ya kuwa na miiko ya uongozi, kulikuwa na kanuni za TANU. Moja kati ya kanuni hizo ni ile iliyorithishwa CCM inayosema, "Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala sitapokea rushwa".

"Usije ukadhani kwamba wakati wa awamu ya kwanza palikuwa hapana rushwa, ilikuwapo lakini tulikuwa wakali sana. Siku za mwanzo kabisa tulitaka watu wajue hivyo. Tukapitisha sheria kwamba mtu akila rushwa, eh kiongozi wetu anakula rushwa: anayetoa, aliyepokea … wote wanapata msukosuko," anasema Mwalimu Nyerere.

Akieleza sifa ya kiongozi anayepaswa kuiongoza Tanzania, Mwalimu Nyerere anasema kuwa kiongozi bora si yule anayechukia rushwa tu, bali pia awe na uwezo wa kuwaambia rafiki zake kwa kauli ambayo wataiheshimu na hawatarudia tena.

"Sasa Tanzania inanuka rushwa. Tunataka kiongozi atakayesema; ‘rushwa kwangu ni mwiko, mwaminifu kabisa hawezi kugusa rushwa na watoa rushwa watamjua hivyo.

"Ikulu ni mahali patakatifu, mimi sikuchaguliwa na wananchi wa Tanzania kupageuza kuwa pango la wanyang'anyi", anasema Mwalimu Nyerere.

Akizungumzia rushwa katika uchaguzi Mwalimu Nyerere anakumbushia enzi ya utawala wake ndani ya TANU na CCM akisema kuwa mali ingeweza kumkwamisha mgombea;

"Zamani katika CCM na katika TANU, tunapochagua mgombea wetu kama ana mali tunamuuliza ‘hii umeipata wapi?'. Mali ilikuwa kigezo cha kupoteza sifa ya kuwa mgombea," anasema.

Kwa misingi hiyo kujivua gamba pekee hakutushi, tunapaswa kuwa na viongozi wenye uadilifu wa kweli, wanaochukia rushwa na jamii iwaelewe hivyo.
Kimsingi rushwa ikiendekezwa italimong'onyoa taifa.
ndiyo maaana bado tunahitaji wale wakuu wa serikali hasa ya tatu iliyongozwa na mkapa iwajibishwe bila kujali alikuwa rais, rais wa nchi shurti awe na heshima kwa wananchi wake, lakini rais wa nchi hawezi kuongoza genge la watu wachache kwenye serikali yake na kuwaibia wanancnhi wake.
hatakama serikali ya leo hatamwajibishi mkapa na genge lake la akina chenge, waziri mkuu wake iko siku mkapa atawekwa kwa vyombo vya sheria ili ajibu tuhuma za kuhujumu uchumi wa nchi yetu, nani alijuwa mubarak angewekwa rumande?
 
Why dont you take your time ... learn how to post!...
... Get the difference between face book and Jf
I think he has managed to make his point clear. By the way, how does one post in JF, as opposed to Facebook? Please enlighten me.
 
Back
Top Bottom