Shamba zuri ekari 50 linauzwa,tafadhali soma hutajuta kwa muda uliotumia

deusgogomoka

Member
May 31, 2012
13
3
Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu inatwa Miswe (mwembe duka) unaingia ndani mita 500 tu. Ni barabara ya gari ambayo inaenda shambani na imechongwa kwa madhumuni hayo. Kwenye shamba kuna vitu vifuatavyo.Migomba mingi sana.Mikorosho zaidi ya 100.Kuna nyumba ya udongo yenye bati ina vyumba 4 (iko katika hali nzuri sana) kwa mtu kuishi.Kuna banda kubwa la mbuzi amabalo linachukua mbuzi zaidi ya 100.Limelimwa mihogo ekari 5.Kuna bonde zuri linatoka ruvu ambalo linafaa kwa kilimo cha mpungaKama ni mnunuzi tafadhali wasiliana na mimi kwa namba 0759982831/0773194946 au kwa barua pepe deusgogomoka@gmail.comKama ni mkulima na mfugaji utafurahi kwani ardhi ina rutuba na hali ya hewa nzuri. Karibuni sana.Sababu ya kuuza ni mmiliki kuhamishiwa kikazi mtwara.

Bei ni Tshs 700,000/= kwa ekari ila maelewano yapo kulingana na malipo yatakavyofanyika mfano awapi ngapi za malipo (hazitakiwi kuzidi mbili), n.k.
Bei nimeshusha toka laki 9 hadi laki 7. Mkishindwa hapo tena jamani sijui niseme nini tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom