Shamba linauzwa madale

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Lina ukubwa wa hekta nne. Lipo pembezoni mwa barabara iendayo Goba.Lina hati miliki Linauzwa USD 250,000/=

Kwa kulitazama au maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au 0755312233
 
Attachments

  • Photo0464.jpg
    Photo0464.jpg
    58.5 KB · Views: 87
  • Photo0468.jpg
    Photo0468.jpg
    50.3 KB · Views: 80
  • Photo0466.jpg
    Photo0466.jpg
    54.7 KB · Views: 77
  • Photo0473.jpg
    Photo0473.jpg
    43.5 KB · Views: 71
Mi nauza kiwanja cha kujenga maeneo ya mbezi salasala, kinafaa kujengwa, sehemu nzuri, ya ukweli. Kama unania ya kununua nijibu then tutawasiliana ukaone ukipenda.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
we dalali kitomai bana mali zako bei ghali sana,,, sjui unaeka cha juu kingi,,, duh,, bunju milioni 45?????? Salasala 50????... Nimeshindwa

Ni kweli hata mimi nimekuwa nikichunguza matangazo yake iwe kiwanja / nyumba bei zake kubwa sana tofauti na dalali mmoja maarufu wa humu ndani.
 
Lina ukubwa wa hekta nne. Lipo pembezoni mwa barabara iendayo Goba.Lina hati miliki Linauzwa USD 250,000/=

Kwa kulitazama au maelezo ya ziada piga simu 0717114409 au 0755312233
Hivi mungu wa huko ni tofauti na wa huku kwetu vingunguti?
Au wanaishi huko wataenda peponi direct?

Maana hapo tunaongelea 400m lol!
Mie ninacho mvuti ni heka 7 nauza mil45,000 tuu.
Yani USD 28,000 tuu.
 
Unajua kuna maswali mengi sana ya kujiukiza kabla hujanunua eneo.

$250,000 ni hela nyingi sana, je thamani ya hicho kiwanja ni sawa na bei??

Matumizi yake au endapo utataka kuuza kitauzika na angalau upate chochote??

Kiukweli yule waziri aliyetemwa wa nishati na madini alinunua nyumba yenyr thamani ya $700,000 lakini aliandamwa sana kuwa ni fisadi vipi hili kuhusu uwanja.

Kama akina Bakharesa wanatembelea humu ndani wanaweza kununua kwa hiyo bei!!!
 
Hivi mungu wa huko ni tofauti na wa huku kwetu vingunguti?
Au wanaishi huko wataenda peponi direct?

Maana hapo tunaongelea 400m lol!
Mie ninacho mvuti ni heka 7 nauza mil45,000 tuu.
Yani USD 28,000 tuu.

Japokuwa sijui Goba ipo wapi zaidi ya kumsikia Mnyika akipigania maji wa wakazi wa mji huo lakini hivi kuna utofauti mkubwa wa Goba na Mvuti mpaka mtu auze kwanja hekta nne kwa 400,000ml!!!!!
 
Tembea uone thamani ya ardhi Bongo inazidi kupanda juu. Hapo bado mambo ya East Africa hayajakaa vizuri. yakiwa katika mstari kama wanaopanga hao wanaopata AAAAAA. Warundi, waganda, wakenya watakuja kununua ardhi hapa itakua haishikiki. AU itakapofutwa hiyo sheria inayosema ardhi ni mali ya umma na kuwa mali ya mtu binafsi. Kamata ardhi sasa kwa manufaa yako na vizazi vijavyo!
 
kwa hio bei ni wa tz wachache watamiliki ardhi,but no way bado kuna mapori mengi nchini hayajaendelezwa
 
Si ndio hapo namimi nashangaa?
Ama kweli tz ni tofauti na uijuavyo aise lol!
 
kwa hio bei ni wa tz wachache watamiliki ardhi,but no way bado kuna mapori mengi nchini hayajaendelezwa
Mkuu 'akenajo'naona umejikatia tamaa ya kumiliki ardhi hapa town,by the way dr Slaa akiwa prezidar ardhi itashuka bei sana,hiyo ya dollar 250,000 itashuka mpaka dollar 2,500 lol!
 
Tembea uone thamani ya ardhi Bongo inazidi kupanda juu. Hapo bado mambo ya East Africa hayajakaa vizuri. yakiwa katika mstari kama wanaopanga hao wanaopata AAAAAA. Warundi, waganda, wakenya watakuja kununua ardhi hapa itakua haishikiki. AU itakapofutwa hiyo sheria inayosema ardhi ni mali ya umma na kuwa mali ya mtu binafsi. Kamata ardhi sasa kwa manufaa yako na vizazi vijavyo!

We jamaa tamaa sana asee hata kama wakija hao huwezi kununua ardhi tena isiyo na hati dola laki mbili na nusu!!! udalali wa njaa nao haufai hata kidogo..
 
Tembea uone thamani ya ardhi Bongo inazidi kupanda juu. Hapo bado mambo ya East Africa hayajakaa vizuri. yakiwa katika mstari kama wanaopanga hao wanaopata AAAAAA. Warundi, waganda, wakenya watakuja kununua ardhi hapa itakua haishikiki. AU itakapofutwa hiyo sheria inayosema ardhi ni mali ya umma na kuwa mali ya mtu binafsi. Kamata ardhi sasa kwa manufaa yako na vizazi vijavyo!
Hapo umechemka mgeni harusiwi kununua ardhi labda kwa njia ya panya.? Sanasana wageni wanaingia ubia au wananunua kwa jina la mtz kwa mtizamo anakuwa kaliwa
 
Japokuwa sijui Goba ipo wapi zaidi ya kumsikia Mnyika akipigania maji wa wakazi wa mji huo lakini hivi kuna utofauti mkubwa wa Goba na Mvuti mpaka mtu auze kwanja hekta nne kwa 400,000ml!!!!!

Kwa taharifa yako, Goba imepakana na Mbezi Beach. Watu wenye pesa wamenunua viwanja maeneo ya huko. So Goba ipo jirani uwa waridi nayo ina nukia nukia. Kwa ma investor iyo pesa ya kawaida. Embu jenga shule au chuo cha kisasa uone iyo pesa itarudi kwa kipindi gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom