Shamba linakodishwa!

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
Heshima wakuu, Nina kashamba kangu kwenye ukubwa wa takriban Eka 8. maeneo ya Mwasonga kigamboni. Lina rutuba nzuri na limesafishwa lote. Kuna maji na vifaa vidogo vidogo vya kilimo. Kama kuna mwenye nia ya kujishughulisha karibuni. Nia yangu kubwa ni kwamba shamba litumike. Mwenye mbavu na mahitaji ya shamba la kujishughulisha anakaribishwa sana. Tafadhali ni PM humu kama kuna swali lolote ama kwa maelezo zaidi.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom