Shamba lenye ukubwa wa eka tisa linauzwa, lipo katika kijiji cha kurege, kijiji cha pili toka Bunju. Shamba hili linapakana na barabara ya lami. Lina nyumba mbili. Pia na msingi wa kujenga ghorofa. Lina hati miliki tatu, moja ya makaazi na biashara, nyingine makaazi. Lipo karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa linafaa kwa biashara na maKaazi. Bei Tshs 400mil.
Ehehehe kweli tutakuja kujenga kweli sisi masikini,hapo on evarage inaonyesha haka moja karibia milioni 44.5 khaaaaaaaaaa,hapo tukienda mbele robo heka sawa na mil 11 tena nje ya mji daaaaa hatareeeee,bora hiyo hela niende mbezi lous ninaweza nikapata heka 100
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.