Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 8,951
- 25,315
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion material needs TIME and MONEY”
Kauli hii inakuja muda mfupi kabla ya Simba kuingia uwanjani dhidi ya Orlando Pirates ili kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup 2022).