President Elect
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 693
- 212
Mchakato umeanza mapema kabisa: vinara kwa sasa ni Lowassa na Membe kwa upande wa CCM, na Zitto na Dr.Slaa kutoka CHADEMA.
Kuelekea 2015 vigingi vitakuwepo vingi tu, kwa hao wanne na wengine watakaojitokeza siku za usoni.
Hata hivyo vikao vya juu vya maamuzi ndani ya vyama vyao vya siasa, ndio vyenye uwezo wa kuamua nani asimame kama mgombea wao.
Kwa sasa ni mapema mno, ila kuonyesha nia si jambo dogo, yataka moyo.
Kibwagizo cha shades of sins kinaashiria kuwa rushwa ikitumiwa na hawa wateule, dhambi hiyo itawatafuna hadi kaburini.