SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!

Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
 
Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.

Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.

Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.
 
Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kutarudia yota. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.

Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.

Wewe siyo mzima
Hutasumbuka ikiwa umeandika gazeti!!! Kwanini hujapita wima!!?
 
Sitapoteza muda mwingi kukujibu maana ni kama huwa unavuta mmea fulani, maana hii mada huwa unaibuka nayo kwa mwezi mara moja, mwanzoni tulihangaika kukuelimisha, tukakuletea data nyingi tukitegemea utakua na akili. Lakini baada ya mwezi mmoja unarudia hoja ile ile huku ukitumia kichwa tofauti.

Kifupi ni kwamba nchi yetu ya Kenya tumejijengea wenyewe, tulishaorodhesha humu miradi yote ambayo imekua ikiendelea Kenya. Sina haja ya kuyarudia yote. Lakini miaka ya themanini tulicheleweshwa na chama tawala dhalimu cha wakati ule, kama jinsi Tanzania inacheleweshwa na CCM hadi leo. Tanzania ya leo inayojinadi ya kubana matumizi, mnajenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini maeneo ya Chato ambapo hamtegemei mtu yeyote wa kimataifa kutua pale. Bora hata mngeboresha Bukoba iwe ya kimataifa. Mambo kama hayo ndio yalituchelewesha sana kipindi cha uongozi wa chama tawala cha wakati ule.

Lakini punde tu, tulipokibadilisha na kukipiga chini hicho chama, Kenya ilipepea na kuiacha Tanzania kwenye vumbi na lindi la umaskini. Hata Tanzania itawabidi mfikie huo uamuzi, ikiwezekana kwenye uchaguzi wa 2020 hapo ndio mtaona nchi inaanza kupiga hatua za kweli. Lakini kwa sasa mtaendelea kuona vioja na ukurupukaji wa hali ya juu, mara mnahamia Dodoma, mara naona eti Makonda kasema watu wa Mikoani msije Dar bila sababu maalum, mara watu wasiokua na kazi wahesabiwe Dar, mara kushtukiza kule mara hiki, mara kile, yaani hakuna mikakati, hakuna mpango wowote, ni kukurupuka full kwenda mbele.

Kuna mradi gani mkubwa Black Kenya imefanya kwa miaka 50 iliyopita mbali na SGR?
 
Yaani jamaa anafungua google habari anazozipata ni za olimpiki pekee...baada ya muda anarudi tena...habari ni zile zile...
Jamaa yuakosa raha sana hadi anaona ni bora kurudia mambo yale yale tuliopitia shida kumuelimisha ila raundi hii, mada imebadilishwa.
Hahaha...We shouldn't waste our time here folks.
 
sawa hatujajenga lolote isipokua sgr....tz imejenga kila kitu yenyewe.huku kwetu kenya vile vitu wakoloni wamejenga ndio vimebaki tu.happy?rudi ulikotoka sasa
 
nimeshindwa hata kushangaa ..............

kama hainihusu hainisumbui
 
mbali na reli ile ya kikoloni, hebu tupatie vitu viko kenya ambavyo vilitengenezwa na wakoloni
 
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!

Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
Barbarosa, you always have got very amusing and rather unorthodox perspective on issues. They always sound naive to me, infantile even.
It is bcos of your such uneducated view on issues that have gotten some of your fellow Tanzanians wroth with u and even denouncing u. Your twisted opinion just seems to irk just about everybody.

The SGR isnt the first development project under the African administration in Kenya since independence. Since the late 60s, the successive black regimes embarked on establishing infrastructure based develpment projects to augment the already existing ones, built during the colonial era in order to spur economic growth and also to meet the needs of the Kenya's fast growing population.
Roads, airports,, factories, schools and universities, plantation farms, hospitals, housing projects, communication facilities, electricity generation and supply facilities, water supplies etc......all these preceded the said SGR, and just bcos the SGR i probably the largest and the costliest and the most commentated about project doesnt make it the first and the only one since Kenya's independence. Such a comment is wrong and insulting to the pipo of Kenya.
 
Hawa hata usitumie nguvu nyingi kuwaza kuhusu hizi mada zao ambazo huwa wanaibua kila siku, wakirudia rudia zile kauli zao za miaka yote.
Halafu wapo nyuma sana, juzi nimeona sehemu kwenye habari hata wasanii wao wameagizwa wasivae mavazi yanayofanana na ya polisi wakati wa kuigiza. Imagine yule inspekta Mwala wetu na mapolisi wake wanavyovaa kama polisi wetu, eti waje kuzuiwa na kutishiwa kesi mahakamani.

Yaani kukandamiza ubunifu na sanaa ya usanii, ni kama leo Hollywood waambiwe wasitumie tena sare za kijeshi kucheza movie zinazohusiana na jeshi.

Yaani hawa hunikumbusha jinsi Kenya ilivyokua miaka 20 huko nyuma.
 
ntawamalizia na moja tu.

Mradi mkubwa kabisa kenya ishawahi fanya ni kuunda katiba mpya ya kisasa.!!!
 
Hiyo kwao ni ndoto, yaani ndoto ya mbali sana, leo hii upinzani kwao wameanzisha kitu wanakiita UKUTA kujaribu kupunguza udikteta wa rais, wanataka kufanya maandamano. Kweli tumetoka mbali.....
 
Barbarosa, you always have got very amusing and rather unorthodox perspective on issues. They always sound naive to me, infantile even.
It is bcos of your such uneducated view on issues that have gotten some of your fellow Tanzanians wroth with u and even denouncing u. Your twisted opinion just seems to irk just about everybody.

The SGR isnt the first development project under the African administration in Kenya since independence. Since the late 60s, the successive black regimes embarked on establishing infrastructure based develpment projects to augment the already existing ones, built during the colonial era in order to spur economic growth and also to meet the needs of the Kenya's fast growing population.
Roads, airports,, factories, schools and universities, plantation farms, hospitals, housing projects, communication facilities, electricity generation and supply facilities, water supplies etc......all these preceded the said SGR, and just bcos the SGR i probably the largest and the costliest and the most commentated about project doesnt make it the first and the only one since Kenya's independence. Such a comment is wrong and insulting to the pipo of Kenya.

kenya_rio.jpg

Lets open this ceremony! in Rio, Brasil

485242946-gold-medalist-david-lekuta-rudisha-of-kenya-gettyimages.jpg

Kenya-web.jpg

rudisha-david-120809-620.jpg

This looks like it!

GOLD in 800m rio. Someone remind is tz in the rio olympics!!!
747143-01-02.jpg

Men marathon Gold in Rio! someone say Tz!!!!

athletics-women-s-1500m.jpg

women 1500m!!! shhhhhh!!
BOLT_2980055f.jpg

The legend acknowledgement!! Tz mpo

steeple-chase-podium.jpg

kipruto-steeplechase.jpg

whatsup Tz. Still in Rio!!

14045683_1017558798361365_2519615460444270738_n.png

Mmmmmmmhhhhh!!!

r

mens-400m-hurdles-final.jpg

400 m hurdles we take home silver!!

These moments are too many I will be back from Rio!!
This is the update thread of our medal count in Rio.

Gold - 6
Silver - 7
Bronze - 0

Jemima Sumgong - Women's Marathon - Gold

David Rudisha - Men's 800m - Gold

Faith Kipyegon - Women's 1500m - Gold

Eliud Kipchoge - Men's Marathon - Gold

Consensus Kipruto - 3000m steeplechase - Gold

Vivian Cheruyiot - 5000m women - Gold

Vivian Cheruyiot - Women's 10000m - Silver

Paul Tanui - Men's 10000m - Silver

Hyvin Jepkemoi - Women's Steeplechase - Silver

Boniface Mucheru - 400m hurdles - Silver
Helen Obiri - Women's 5000m - Gold

Julius Yego - Javelin - Silver

Wambui Nyairera - women's 800m - Silver

Narudi!!!!!!!!
 
Nchi ya Kenya chini ya Waafrika wa Kikenya, haijawahi kujenga mradi mkubwa wowote tangu Uhuru, kila kilichokuwepo kilijengwa na Wazungu, hivyo hii SGR ndiyo mradi wa kwanza wa Black Kenya kwa miaka zaidi ya 50!

Kinyume na TZ yetu sisi tumejenga karibia kila kitu wenyewe, hata TAZARA tumejenga baada ya Uhuru achilia mbali miradi mingine mikubwa!
kenya_rio.jpg

Lets open this ceremony! in Rio, Brasil

485242946-gold-medalist-david-lekuta-rudisha-of-kenya-gettyimages.jpg

Kenya-web.jpg

rudisha-david-120809-620.jpg

This looks like it!

GOLD in 800m rio. Someone remind is tz in the rio olympics!!!
747143-01-02.jpg

Men marathon Gold in Rio! someone say Tz!!!!

athletics-women-s-1500m.jpg

women 1500m!!! shhhhhh!!
BOLT_2980055f.jpg

The legend acknowledgement!! Tz mpo

steeple-chase-podium.jpg

kipruto-steeplechase.jpg

whatsup Tz. Still in Rio!!

14045683_1017558798361365_2519615460444270738_n.png

Mmmmmmmhhhhh!!!

r

mens-400m-hurdles-final.jpg

400 m hurdles we take home silver!!

These moments are too many I will be back from Rio!!

This is the update thread of our medal count in Rio.

Gold - 6
Silver - 7
Bronze - 0

Jemima Sumgong - Women's Marathon - Gold

David Rudisha - Men's 800m - Gold

Faith Kipyegon - Women's 1500m - Gold

Eliud Kipchoge - Men's Marathon - Gold

Consensus Kipruto - 3000m steeplechase - Gold

Vivian Cheruyiot - 5000m women - Gold

Vivian Cheruyiot - Women's 10000m - Silver

Paul Tanui - Men's 10000m - Silver

Hyvin Jepkemoi - Women's Steeplechase - Silver

Boniface Mucheru - 400m hurdles - Silver
Helen Obiri - Women's 5000m - Gold

Julius Yego - Javelin - Silver

Wambui Nyairera - women's 800m - Silver

Narudi!! kunayo bronze lakini kwa sasa sitaijumuisha. fanya hesebu mwenyewe!!!
 
Back
Top Bottom