Sex...

kkama ulivyosema sex ni suala zima la kuzaliana ata vitabu vya mungu vimeandika,pia sex ni starehe kwasababu sio wote wanaoingia kwenye ndoa wanazaa,utakuta baba na mama wanatatizo la kupata mtoto wakaelewana na wakaendelea kuishi pamoja bila yoyote kutoka nje ya ndoa,na wengine hawana tatizo na wakakaa mda mrefu bila kupata mtoto na wanaishi ukiwauliza watakujibu tunakula raha kwanza,so sex ni mjumuiko wa hisia za kimwili ambazo mungu ameziweka kwa kila binadamu bt pia naweza kusema sex ni afya kwa binadamu.
 
interesting indeed,

mwaka 1988 wakati najifunza baioloji... nilisoma mengi yenye maswali, mwaka 1995 wakati nasoma physiology, pia niliona mengi yenye maswali

My comment ni - philosophers, scientists and great innovators have always been very creative "to reach God's capacity", which will never happen.

Sex and sexuality, orgasm, reproductivity etc roll as you want them to when it comes to thinking, its like rolling dices for those who like related games.

I wouldnt dwell much coz if we want to be rational, then we would ask zimmer about wet vagina, deep situated ovaries, menstrual cycle with blood, primitive situating of testicles outside the body (knkowing the delicacy and sensitivity), women breasts and role in sex, fellatio, cunnilingus, pregnancy etc

Once you swim in theorists and "innovators" you are bound to clash with lots of reality

The choice is yours

I love sex to the core, and no matter how primitive and "defunct" it is, i would not trade it with any pleasure in this world!!
Word!!
 
na kutoa mimba kwa msichana ni kawaida kwasababu inakuwa ni baati mbaya inakuwa sio matarajio yake au sababu maalum zmempelekea kutoa,mbona ata wanandoa wanatoa mimba.
 
hebu fikiri mimba miezi tisa and sperms are produced in billions per month.... and we think of "moja kwa kila tendo"
yaa mimba ni mafanikio ya mungu na ni uwezo wa mungu so mungu ndio ameumba ivyo sex ni kuzaliana na kustarehe
 
kuna wengine wanazaliwa na mapungufu ya homoni na wanatafuta nguvu za kiume kwasababu sex ni muhimu ktk maisha ya binadamu yanayowazunguka na wanaisia na ndio mana wanatafuta na kuziongeza.
 
for sure,kama lengo lingekua ni kuzaliana pekee, kwa ninavyofikiri, hayo mambo mengine yasingekuwepo! Daaah!
mkuu hebu fikiria kama lengo ni kuzaa tu

una mke mmoja, anapata mimba na kukaa miezi tisa, then anazaa, then you need a couple of months kuweka mambo sawa, kunyonyesha na pia cycle yake iwe vizuri, halafu ndio unachapa tena, anapata mimba.

kwa nalysis hii, mwanaume mwenye miaka 30 anaweza akawa amechapa only 12 time tangu azaliwe assuming kwamba amebalehe akiwa na miaka 18

is this realistic aisee??

if not, then mwanaume mmoja hakuumbiwa mwanamke mmoja, au labda Mungu alichemsha kutuma mabilioni ya sperms ndani ya mwezi mmoja, au pia kulikua na kosa kwani mwanaume mmoja hudinda average ya mara tisa akiwa amelala usingizi wa kawaida

I AM JUST THINKING ALOUD

AISEE............:smow:
 
Haahhahaahah..........MTM leo umenichekesha sana kaka yangu duh....If you were the advocate wa kupinga muswada wa kuifanya sex iwe for reproduction tu hakimu na mawakili tetezi wangekimbia mahakama. Duh!!

But what you say its true Kamanda. Thanx for remainding us of who we are and what we are made off.
Hilo za millions of sperms kila mwezi limenifunga kinywa kwenye hii thread aisee!!
 
mkuu hebu fikiria kama lengo ni kuzaa tu

una mke mmoja, anapata mimba na kukaa miezi tisa, then anazaa, then you need a couple of months kuweka mambo sawa, kunyonyesha na pia cycle yake iwe vizuri, halafu ndio unachapa tena, anapata mimba.

kwa nalysis hii, mwanaume mwenye miaka 30 anaweza akawa amechapa only 12 time tangu azaliwe assuming kwamba amebalehe akiwa na miaka 18

is this realistic aisee??

if not, then mwanaume mmoja hakuumbiwa mwanamke mmoja, au labda Mungu alichemsha kutuma mabilioni ya sperms ndani ya mwezi mmoja, au pia kulikua na kosa kwani mwanaume mmoja hudinda average ya mara tisa akiwa amelala usingizi wa kawaida

I AM JUST THINKING ALOUD

AISEE............:smow:
Hahahaha!!! Cousin you just made my day lol!!!
 
...... 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!

  1. Yes watu wangehaingaika kutafuta ndani na nje ya ndoa. I mean tungekuwa kama mamalia wengine tena tofauti ni wakati wanayama wengi rotation yao ya heat period ni ndefu binadamu inaoneka kwa wanawake ni kila mwezi kwa wanaume ni muda wowote siku yeyote. So ukiweka na vitu kama population ratio hili la kutafuta nje lingekuwepo sana tu kwa wanaume na wanawake.
  2. Kama lengo ni mimba basi mimba zisingetolewa
  3. yes nguvu za kiume zingewaishia
Huo ni mtazamo tu
 
Hiyo dhana nzima ya kuwa sex ni kwa ajili ya kuzaliana tu sikubaliani nayo na wala haijawahi kunipitikia kichwani mwangu.

Sex ni staarehe kuzaliana ni matokeo tu
 
Hiyo dhana nzima ya kuwa sex ni kwa ajili ya kuzaliana tu sikubaliani nayo na wala haijawahi kunipitikia kichwani mwangu.

Sex ni staarehe kuzaliana ni matokeo tu
that's my girl!!!!
 
wifi umeamkaje? msalimie kaka,lol! muambie asilete za evolution, siku hizi tunaongelea ovulation:mimba::mimba:
Haahhaha....wifi swali lilitakiwa kua nimelalaje!?Lolzz...ujumbe wake nadhani amepata..na yeye eti ndo alianzisha hii topic.Sijui katosheka au kapata starehe nyingine....?!
 
Back
Top Bottom