Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,129
Jibu analo huyuKuuliza sio ujinga.....
Jibu analo huyuKuuliza sio ujinga.....
Acha mikwala wewe....... hahahahahaaaa unawatisha wenzio bibie mweeh!!Bwoi...breki na steringi vitakua na kutu balaa!!
hahaaaaaaaaaaaaa... last time we talked, you were coming out of the "host house"
pal, memories.... memories pal
dayyymmmm
Hahahaaaaaaaa babu si nilikuwasambamba mpaka mc akatangaza maharusi wakapumzike?Gaga ndo unafanya nini kututoroka kwenye Anivesare yetu?
Hivi theory ya sex imeishia wapi? ni sawa tule kuzaa tu au hata viburudisho?
leo ni mkesha wa wakulima wote duniani, kilimo kwanza watoto badae
77 oyeeeeeeeeeeeeeeeeHivi theory ya sex imeishia wapi? ni sawa tule kuzaa tu au hata viburudisho?
leo ni mkesha wa wakulima wote duniani, kilimo kwanza watoto badae
Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?
Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.
Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!

Are we talking about "sexual feeling" or "sexual healing" here? or is it sex as a reproduction tool? or sex as leisure? or is it sex as business? oooh oh, may be sex as being sexy? mnhhh or animal sex? or just simply being sexy? or fetish sex? mnh mnh, may be maniacal sex? or is it as in kamasutra? aaah, aaah, may be as in perfumed garden? is it missionary or dogy sex?
Couldn't figure it out! Help, sexual explanation needed.
hahahahahaaaaaaaaaha lolz.
kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
Ni kweli kabisa kuwa sex was meant for reproduction without which is unnecessary and abuse, kufanya sex ni kumsaidia Mwenyezi Mungu katika kuendeleza uumbaji...uumbaji ni tendo linalohitaji concentration ya hali ya juu ambayo mwanamume huwa nayo wakati wa kumwaga shahawa(ejaculation) ndiyo sababu kiumbe chochote hata mbwa anapokuwa kwenye tendo huwa kama zoba,maana yake concentration yoote inakuwa kwenye kuumba na hii hutokea automatically tu.
Kwenye evolution theories tumesoma kuwa tendo la ndoa(mapenzi) ni kwa ajili hasa ya kuzaliana na kuongeza viumbe. Hii ipo kwenye mimea na hata wanyama. Tukichimba mbali zaidi tunaambiwa sex was a product of a historic accident or product from creator. Carl Zimmer: "Sex is not only unnecessary, but it ought to be a recipe for evolutionary disaster. For one thing, it is an inefficient way to reproduce.... And sex carries other costs as well.... By all rights, any group of animals that evolves sexual reproduction should be promptly outcompeted by nonsexual ones. And yet sex reigns... Why is sex a success, despite all its disadvantages ?"
Sex is-WAS not supposed to be fun thing to do ! Female orgasm is useless in evolution ila male orgasm ni muhimu ili waweze kupenyesha mbegu na kuchavusha yai la kike.
Sasa maswali yangu yanakuja...kama wote tungekua tunaishi na hii dhana ya kwamba sex ni kwa kusudio la kuzaliana tu 1.je watu wangekua wanahangaika kuitafuta ndani na nje ya ndoa/mahusiano bila kusudio la kupata mtoto?!
2.Je watu wangekua wanatoa mimba?!
3.Wanawake wangelalamika kwamba waume zao hawawaridhishi mpaka kufikia kutoka nje ya ndoa?!
4.Nguvu za kiume zingewaishia wababa?!
Si wanyama wote na nafikiri si binadamu wote. Nimewahi kuona "documental" kuhusu maisha ya sokwe/nyani. Duh! hawa viumbe hatari, sex kwao ni kama uraibu na mara nyingi huitumia kama "social act" na pengine hata njia ya kutatua migogoro yao. Vivyo hivyo na ndege (kuku wakiwa mfano).Ndio tofauti kati ya mnyama na binadamu!! Mbwa, au Ng'ombe kwa mfano hawafanyi hiyo kitu bila kuwa kwenye tarehe zitakazoruhusu Mimba kutungwa. Ndio mwisho wao wa kufikiri huo. Lakini kutokana na uwezo mkubwa alopewa binadamu wa kutawala mazingira na vyote vilivyomo ndio maana tumegundua kwamba haya Majitu tulowekewa yanaweza kutupa burudani ya pekee na ndivyo ilivyo. Au unabisha? Wewe hujagundua hilo? Kama hujapata wa kukuthibitishia hilo kwa matendo.... nitafute.