Sex ni suluhisho la ugomvi (misunderstanding)?

lakini hii hali haipo kwa mwanaume
unaweza kumkosea ukampa penzi na baada ya penzi ugovi ukaendelea kama kawa
 
Sijui kwa wengin but mimi naamini kama mmenuniana alafu muka engage katika hilo tendo... ina maana yameisha kabisa... ndo maana wanandoa wanashauriwa wawe na vitanda vidogo acha hii maneno ya 6/6
\

Jamani Ad, hivi na hawa mbu na style za wengine kulala kama wanajifungua si malaria itatumaliza, maana hata hizi dawa za kwenye net sometime hazifanyi kazi.

Halafu mtoa thread anadai amefanya uchunguzi, hivi ni kweli au ndiyo 'personal experience' imeingizwa kiaina wanaJF?
 
ndo solution....hata mi na mama gaude tukinuniana yaaani tukijipindua tu mara ugomvi hamna tena..kama asa hivi kanuna lakini atacheka tu asa hivi
 
Back
Top Bottom