Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
- Thread starter
- #261
Eee bana tunabadilisha mwonekana wa mtoto kwa rangi utakayopenda. Ukipenda mchina zaidi tunawafanya wote wachina. Fanya appointment sasa. Huwa nakuwa busy sanaaaaaaaaaaaa!
papito appointment ndio hii tushakubaliana. mie naona bora wawe wabongo ila na rangi kidogo.
sasa hebe sema basi inatakiwa niandae nn, sipendi kujiandaa nusu nusu ktk mazingira kama haya.