serious man to build a family!

Hakuna serious man dunia hii, unatakiwa wewe uwe serious ili huyo mwanamme awe serious

FF hili ni kama tishio vile kwa wanaume! A great advice all the same ingawa wanaume serious wapo; walikuwepo na wataendelea kuwepo. Sema tu kwa mabinti wengi wanaochipukia, wanaume serious hawavutii sana kama machakaramu. Inachukua muda kupata mtazamo sahihi na kwa wengi wao ikifikia hapo huishia kuchanganyikiwa ama kwa kutoelewa mikakati ya kujirejeza kwenye mstari sahihi au kwa kufikiria (kimakosa) kuwa umri umewatupa mkono hivyo "game over". Wanahitaji ushauri mzuri kuhusu maisha.
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact![/QUOTE

Labda yupo lakini hajitambui km ni serious man hebu toa sifa/vigezo vya "serious man"
 
...atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!
Mimi simchi Mungu lakini moral compass yangu inanitaka nitende mema bila kuogopa kuchomwa moto na Mungu siku ya mwisho. Na ya kwako iko based on kuogopa moto, hivyo yaweza kuwa moral fiber yangu ni ya ukweli zaidi. Je nina qualify? Kuhusu hekima na maarifa kwa sasa sina mashine ya kupimia, tukikutana utanipima na mashine yako we mwenyewe. Unasemaje?
 
habarini wana jf,kutokana na kila cku wanaume kuumiza wanawake nimeamua kutumia fursa hiii kumtafuta serious man ambaye atakuwa na hekima maarifa ya maisha na awe mcha mungu!welcom atakaye kuwa serious ntampa contact!

You sound like one frustrated woman who has no husband. Poole sana. Wacha wenzako ambo wameolewa wakae hivyo hivyo.
If you are looking for a man who will be compatible (to your needs) 100% please create a robot for yourself. Otherwise with your attitude stay away from marriage and married man.
 







Najaribu kuconnect the dot..................lakini naona .........................mweeehhhh........................Loreen!!!!!!!

Dah ht mm nahc huyu dada atakuwa desperate kwakweli.binafsi ningemshauri atulize mawazo kwanza..
 
Kila la kheri isipokuwa usije kumtangaza humu ndani mara ooh GX100 hapo utaonekana huna maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom