Serious Browser Errors in Indian High Commision TZ website

tototundu

Senior Member
Jul 29, 2009
198
40
Nilikuwa najaribu kuperuzi taratibu za visa za India zikoje nikatembelea website yao nikafika kwenye page hii:

:: High Commission of India - Dar es Salaam

Uki-click hapo "VISA" au "Download Visa Application forms" ndio madudu yanaanza.

Kama unatumia firefox, inajifunga (exit) hapo hapo.

Kama unatumia IE, page ina stuck, na unapata msg ifuatayo:

Sysfader: iexplore.exe Application error. Reference memory could not be read


Hii ni hatari, kama ulikuwa unafanya kazi na tabs lets 5 hata 6 zote zinafungwa! unakuwa umepoteza kazi yako.


Na hii ni loophole kwa hackers, suppose programmer akiandika code hii

Sysfader: Taskbar|Network Service - Computer inajizima na unapoteza data zote ambazo hujasave.


WARNING: Kabla hujajaribu kutembelea hiyo website, save kazi zako kwanza.
 
Back
Top Bottom