Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,535
Washughulikie ile kamati ya urosso, mbona waliotajwa wanapeta mpaka leoHuu uwazi/ transparency kwa umma ni kwa NGOs tuu? Serikali nayo iwe transparent na ianze kwa Kurudisha bunge live and then zitungwe sheria kulazimisha maafisa kutoa taarifa kwa umma/ waandishi.