Serikali yawajibu kwa vitendo wapotoshaji wa bandari

MTANZANIA620

Member
Jun 20, 2023
34
30
Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeendelea kutekeleza miradi ya kuboresha bandari zake katika ukanda wa bahari ya Hindi na maziwa makuu (Nyasa, Tanganyika na Victoria) ili kuongeza ufanisi na tija katika biashara na uchumi wa Nchi kwa ujumla.

TPA kupitia kampuni ya China Railway Group 15 (CR15G) inaendelea na mradi wa ujenzi wa bandari mbili za Ujiji na Kibirizi ukanda wa ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kwa gharama ya shilingi bilioni 32.526, Uboreshaji wa bandari ya Tanga awamu ya pili kupitia kampuni ya China Harbour Engineering (CHEC) na kwa sasa serikali imetangaza zabuni za ujenzi wa bandari ya kisiwa cha Mgao (mkoani MTWARA) na itaendelea hivyo katika bandari za MbambaBay (Ziwa Nyasa), Kimondo (Ziwa Victoria mkoani Kagera) na bandari ya uvuvi inayojengwa wilayani Kilwa mkoani Lindi kwa shilingi bilioni 266.7 na kampuni ya China Harbour Engineering (CHEC).

Haya yanafanyika katika kipindi ambacho kumekuwa na mjadala mkali na hoja kutoka kwa baadhi ya watu toka makundi mbalimbali wakidai kwamba kupitia mkataba wa ushirikiano (IGA) wa kiuwekezaji katika bandari baina ya Tanzania na Dubai bandari zote nchini atakabidhiwa kampuni ya DP WORLD na Tanzania haitaweza kuendeleza bandari yoyote bila ridhaa ya kampuni hiyo.

Hii ni kusema kwamba uendelezaji huu wa bandari ni dhahiri umewajibu kwa vitendo watu wote waliokuwa vinara wa kuendesha propaganda zilizokuwa na lengo la kujenga chuki kati ya wananchi na serikali yao kwa maslahi binafsi ya kisiasa dhidi ya maslahi mapana ya Taifa. Watanzania wakae mkao wa kula yajayo ni neema tele kwa Tanzania ya Samia.

Wataalamu wa serikali wa masuala ya sheria za biashara ya kimataifa na uwekezaji mara kadhaa waliwatoa hofu wananchi wakieleza kwamba tafsiri inayotolewa juu ya mkataba wa IGA sio sahihi.

Ambapo walisisitiza mkataba huo ulilenga kufungua milango ya majadiliano juu ya mikataba ya uwekezaji (HGA) na ile ya utekelezaji wa miradi husika (Projects Implementation Agreements - PIA). Kupitia PIA ndiko ukomo wa kila mkataba utawekwa kwa kuwa itakuwa imeshajulikana mwekezaji anawekeza fedha kiasi gani katika kila eneo la ushirikiano (Investment Amount) na itajilipa kwa muda gani (Payback period).

Vilevile wataalamu hao wa serikali walieleza maeneo ya ushirikiano katika uendelezaji, uboreshaji na uendeshaji wa bandari yameainishwa katika kiambatanisho cha kwanza ambapo ni kwa bandari ya Dar es Salaam pekee.

Hakika sasa uongo umeanza kujitenga na daima ukweli huwa hautetewi unajitetea hata mpaka kiama kitokee au Kristo arudi.

MZALENDOWAZALENDO40
 
Kumbe mkitikishwa na wababe wenu mnaufyta
Hahahahahah Tutaelewana tu
 
Habari chungu xnaa kwa wapinzani na watz wachache waliokubali kudanganywa
Ndio maana aliwapa habari za uongo kasepa bila kuaga wananchi wake
 
TUNATAKA KWAVITENDO KWA KUWAHUSISHA DPWORLD
 
Hii riwaya inawafaa wasiojua kufikiria. Mi nilijua Mwarabu katia nanga.
 
Umetumwa kumpamba? Atakapomaliza muda wake atavuliwa hadhi ya Urais.
 
Pumbafu.
 
Hivi hao wataalamu wa serikali wa masuala ya sheria za biashara za kimataifa
Si ndio hao waliingia mikataba mibovu ya madini
Si ndio hao wametoa gesi yetu kwa mikataba ya hovyo
Si ndio yule kwenye kesi ya kuitetea serikali alikuwa anajing'atang"ata kama kafumaniwa na mke wa mtu.

Mikataba ya hovyo na ya kifisadi inayoingiwa na serikali ya CCM inatusababishia hasara za rasilimali zetu na kodi zetu.
 
Ule waraka wa katoliki bado unazungushwa kila jumapili ya ibada ?!!!

Wametuambia kuwa eti toka uhuru nchi hii haijawahi kupata mwekezaji Kutoka nje kuwekeza bandarini...eti huyu DP WORLD ndio wa kwanza....

#Nchi Kwanza
 
Hivi hao wataalamu wa serikali wa masuala ya sheria za biashara za kimataifa
Si ndio hao waliingia mikataba mibovu ya madini
Si ndio hao wametoa gesi yetu kwa mikataba ya hovyo
Si ndio yule kwenye kesi ya kuitetea serikali alikuwa anajing'atang"ata kama kafumaniwa na mke wa mtu.

Mikataba ya hovyo na ya kifisadi inayoingiwa na serikali ya CCM inatusababishia hasara za rasilimali zetu na kodi zetu.
Hao ndio wataalamu wa taifa hili....wewe una "delusion"?!!

Unaongelea uchizii wa akili zako ?!!!
 
Back
Top Bottom