Serikali yaunda timu ya wataalamu kupitia upya sakata la Tozo. Yasema zitarekebishwa ila hazitaondoka

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,143
Hii ndio taarifa ya motomoto..

=======

Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani Mara kwenye mkutano wa hadhara amesema Serikali itaendelea kutoza tozo hizo lakini itafanya mabadiliko kuakisi mapendekezo ya chama tawala.

Wataalam wanaangalia namna bora ya kukusanya mapato na watakuja na 'njia rafiki zaidi' kwenye namna ambayo itajali maslahi ya watanzania. Alisema waziri Mwigulu


=======

Tarime. The government has appointed a team of experts to work on the controversial levies on electronic money transactions, the Minister of Finance and Planning said yesterday.

Dr Mwigulu Nchemba told a public rally Sirari, Tarime District, that the government would continue charging the levies on electronic money transfers and other taxes, noting, however, that some changes will be effected to reflect the recommendations of the ruling party on the matter.

“Following the party’s recommendations, the government has appointed a team of experts which has already started undertaking a comprehensive analysis of the matter,” he said, and urged Tanzanians to be patient.

The experts are looking at the best way of collecting the revenue.

Dr Nchemba said the team of experts will then come up with “the most friendly way” of collecting the revenue in a manner that will put into consideration the interests of Tanzanians.

SOURCE: The Citizen
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo katika kongamano la wanawake na vijana Afrika amesema kua "Tumechukua hatua za kurekebisha mifumo yetu ya kodi na tozo, ili kupunguza mzigo kwa wafanyabiashara wadogo wakike na vijana" pia amesema Tanzania ni sehemu salama kwa wafanyabiashara na wawekezaji wanawake pamoja na vijana.

Hii inaonyesha ni kiasi gani Rais Samia Suluhu anavyosikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi, wananchi walilalamika kuusu tozo na sasa zinafanyiwa kazi ili kuondoa mzigo kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.

Kwa utekelezaji huu unaofanywa na Serikali ya awamu ya sita 2025 mama hana mpinzani.
 
Boya wewe. Si ndo ulikuwa unasema waongeze ili kuijenga nchi, sasa unatuletea maelekezo ya CCM ili iweje? Mnaendeshwa na mihemko ya wanasiasa sana! Linaloanzishwa na Serikali kwa kuwa unaipenda baai unaona ni jema sana, ikija tofauti baadae na wewe unahamia huko huko.
 
Tume za nini?
Mama atoe tamko tu
Tuzo marufuku na waliokatwa hela zao especially double taxation warudishiwe pesa zao.
Kila uchao hamuoni kwamba umaarufu wa CCM na serikali unadorora ...
 
Hii ndio taarifa ya motomoto..

Chanzo,the citizen
Mwigulu ana mambo ya hovyo kabisa. Yaani walipo pendekeza tozo hawakushirikisha mtu. Leo ana unda kamati ili nayo ionje utamu wa tozo waseme ni poa. Watanzania wana lalamika maisha magumu, wao wana tengenezeana ulaji.
Mwigulu yuko against maelekezo ya Mh. Rais kila wakati. Kuanzia tozo za simu, ssa na kwenye miamala ya kibenki.
Lengo lake ni kumchonganisha na wananchi. Mh. Rais haoni huu upuuzi bado.
 
Back
Top Bottom