Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

Uwalimu Wa shule za msingi now wanatagaza lini
Mara nyingi hawaweki. Unasubiri kutumiwa kwa posts kupitia anuani uliyoandika kwenye self form. Ni shule chache Sana huweka joining instructions online.
 
naomba waungwana mnisaidie kutafuta jina la mdogo wangu anaitwa JOHN JOSEPH Shule atokayo Bulela
mwingine ELIFURAHA J MASEGA SHULE ATOKAYO NYAKASUNGWA
Mkuu hao wote hawaonekani kwenye list. Labda hawajapangiwa.
 
wengine cm hazina uwezo tafadhali naomba uniangalie mdogo wangu jina la shule ni USAGARA SECONDARY SCHOOL namba S.0345 namba yake S.0226 jina lake ni GWALUGANO HUSSA HAJJ

S0345/0226 Gwalugano H Hajji, comb CBN, amepangwa Longido Sec - Arusha
 
nilichogundua hapo ktk hiyo takwimu yaan watatoa round ya mwisho ila wachache watakaochukuliwa na wengiwao watatupwa uwalimu hiyo ndo hadhima ya serikali by force ili kutimiza sera yao ya kupata walimu wa div1 to 3,
kwan ilikua ngum kumpata mwanafunz aliyepata div1,2 au 3 kuchagua uwalimu kwa hiari angali nafasi ipo ya kwenda advance ndomana wakatumia mfumo huu wa kuwatosa kisiasa wakidai umri na nafasi kwa watahiniwa hao ili hadhima ikamilike, kuweni macho hapo hiyo ndo sili iliyojificha ndan
 
Back
Top Bottom