Serikali yatoa Bilioni 40 za kuanza ujenzi Bandari ya Bagamoyo

Enzi ya Magufuli alikuwa hana dili alihamia kijijini ukwereni kwao Msoga; mara baada ya Jiwe kutwaliwa amerudi yuko full time mjini kufanya ufisadi wake!
Jiwe hana ubavu wowote wa kumfanya lolote JK,ni ujinga wako tuu ndio ulifanya usijue mishen town zake.

Aliendelea na ratiba zake kama kawaida na Jiwe alimtuma huko Nje kama kawaida na Jiwe huyo huyo ndio alimteua Mke wake kuwa Mbunge then akawapa Majimbo Mke na Mtoto
 
Jiwe was too smart, alikuwa anamuweka karibu kwa kumteua mkewe ili kumsize up!!
Alimjua kuwa ni mwizi akishirikiana na GSM kuiibia nchi kwa hizo unazoziita mission town zake.
 
Hatimaye maneno yawa kweli,ahadi yatimizwa ni ya ujenzi wa Bandari Mpya na kubwa ya Bagamoyo.

Hongera sana awamu ya 6,maneno kidogo vitendo vingi.

View attachment 2725953

Halima Okash, Mkuu wa Wilaya Bagamoyo amesema

"Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambao unatarajiwa kujengwa mpaka sasa tumeshapokea zaidi ya Bil. 40 kwa ajili ya ujenzi wa Bandari yetu mpya ya Bagamoyo. Kuanzia mwezi wa nane au wa sita tutaanza ujenzi wa Bandari yetu ya Bagamoyo ambayo itafungua fursa kwa wawekezaji mbalimbali kwenye eneo hili"

Pia soma:

-
Serikali kuanza rasmi ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Septemba 2023

- Prof. Mbarawa: Serikali Imetenga fedha kwenye Bajeti ya Mwaka 2023/24 kuanza Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

- Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Tunaendelea kuwapa pesa DP world! Baasa ya kuwapa pesa za world bank
 
Kuna miradi mikubwa bado inasua sua kwa mfano SGR ; waturuki wanagoma hawalipwi fedha zao. Kule Rufiji nako siku hizi hatusikii kitu kama kuna maendeleo au la!! Serikali makini ingefanya sequencing ya hii miradi mikubwa ili Serikali isianzishe miradi mingine mikubwa kabla ya kumaliza ile iliyoanzisha lakini haijaisha.!
Kuanzisha huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia hela za ndani kama ni Kweli utakuwa mzigo mzito kwa Wananchi wakati hiyo miradi mingine mikubwa haijaanza uzalishaji!! Hii yote ni shinikizo la Kikwete Kwa Samia kwani hakuweza kufanya hivyo enzi ya Magufuli!!! The lady is too weak!!
 
Hakuna mradi unaosua sua Mzee,hata Sgr ingekuwa tayari sema manufacturer hajakamilisha Kutengeneza.

Umeme mwezi wa 2 unaanza majaribio.

Mwisho Nchi haijengi miradi kama mtu binafsi eti udubirie mradi uishe ndio uanze mwingine,huo ujinga peleka kwenye history,economics haisemi hivyo.
 
Back
Top Bottom