Serikali yatoa Bilioni 40 za kuanza ujenzi Bandari ya Bagamoyo

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hatimaye maneno yawa kweli,ahadi yatimizwa ni ya ujenzi wa Bandari Mpya na kubwa ya Bagamoyo.

Hongera sana awamu ya 6,maneno kidogo vitendo vingi.

Capture 11.PNG

Halima Okash, Mkuu wa Wilaya Bagamoyo amesema

"Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ambao unatarajiwa kujengwa mpaka sasa tumeshapokea zaidi ya Bil. 40 kwa ajili ya ujenzi wa Bandari yetu mpya ya Bagamoyo. Kuanzia mwezi wa nane au wa sita tutaanza ujenzi wa Bandari yetu ya Bagamoyo ambayo itafungua fursa kwa wawekezaji mbalimbali kwenye eneo hili"

Pia soma:

-
Serikali kuanza rasmi ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo Septemba 2023

- Prof. Mbarawa: Serikali Imetenga fedha kwenye Bajeti ya Mwaka 2023/24 kuanza Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

- Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

Huu mradi Jiwe aliupiga chini kwasababu alizoziweka wazi kuwa Mkataba wake alikuwa na mapungufu mengi! Samia alipoingia kwa shinikizo la Kikwete wakasema wangeanzisha mazungumzo tena kuhusu mradi huo kuona kama ungeweza kuendekezwa, Cha ajabu Serikali haijaweka wazi mikataba iliyosaini kuurudisha huu mradi na usiri wake lazima utakuwa unaficha uvundo mwingi wa rushwa katika miradi hii ya Serikali ya Samia! Wanafanya mambo yao kisirisiri mpaka awepo mzalendo wa kweli ndio awatonye wananchi!!
Tuambieni wananchi huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo unajengwa na nani na kwa makubaliano gani tofauti na yale aliyoyakataa Magufuli?
 
Huu mradi Jiwe aliupiga chini kwasababu alizoziweka wazi kuwa Mkataba wake alikuwa na mapungufu menage! Samia alipoingia kwa shinikizo la Kikwete wakasema wangeanzisha mazungumzo tena kuhusu mradi huo kuona kama ungeweza kuendekezwa, Cha Rajabu Serikali haijaweka wazi mikataba iliyosaini kuurudisha huu mradi na usiri wake lazima utakuwa unaficha uvundo mwingi wa rushwa katika miradi hii ya Serikali ya Samia! Wanafanya mambo yao kisirisiri mpaka awepo mzalendo wa kweli ndio awatonye wananchi!!
Tuambieni wananchi huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo unajengwa na nani na kwa makubaliano gani tofauti na yale aliyoyakataa Magufuli?
Pwani ndio Mkoa wa Viwanda Tanzania Kwa hiyo Bandari ya Bagamoyo haikwepeki.

View: https://twitter.com/ViwandaBiashara/status/1690442790075760640?t=4bvV1ILJFRlGAtaWjNnQiw&s=19

View: https://twitter.com/ViwandaBiashara/status/1690450873934065664?t=So_pNI9jYbKrmIWt-CM3GA&s=19
 
Sawa lakini mtuambie hiyo miradi source of funding yake ; isije ikawa mnasafiri na JETLINER kwenda nje kukopa bila mpango maalum halafu madeni yanakuja kuwaangukia wananchi kwa kuwatoza kodi bila mpangilio! Huyu mama because of her ignorance anakopa kopa hovyo bila tathmini ya jinsi ya kulipa hiyo mikopo! Our external debt has soared significantly!
 
Sawa lakini mtuambie hiyo miradi source of funding ; isije ikawa mnasafiri na JETLINER kwenda nje kukopa bila mpango maalum halafu madeni yanakuja kuwaangukia wananchi kwa kuwatoza kodi bila mpangilio! Huyu mama because of her ignorance anakopa kopa hovyo bila tathmini ya jinsi ya kulipa hiyo mikopo! Our external debt has soared significantly!
Government budget
 
Huu mradi Jiwe aliupiga chini kwasababu alizoziweka wazi kuwa Mkataba wake alikuwa na mapungufu mengi! Samia alipoingia kwa shinikizo la Kikwete wakasema wangeanzisha mazungumzo tena kuhusu mradi huo kuona kama ungeweza kuendekezwa, Cha ajabu Serikali haijaweka wazi mikataba iliyosaini kuurudisha huu mradi na usiri wake lazima utakuwa unaficha uvundo mwingi wa rushwa katika miradi hii ya Serikali ya Samia! Wanafanya mambo yao kisirisiri mpaka awepo mzalendo wa kweli ndio awatonye wananchi!!
Tuambieni wananchi huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo unajengwa na nani na kwa makubaliano gani tofauti na yale aliyoyakataa Magufuli?
JK anadili lake hapo
 
Sawa lakini mtuambie hiyo miradi source of funding ; isije ikawa mnasafiri na JETLINER kwenda nje kukopa bila mpango maalum halafu madeni yanakuja kuwaangukia wananchi kwa kuwatoza kodi bila mpangilio! Huyu mama because of her ignorance anakopa kopa hovyo bila tathmini ya jinsi ya kulipa hiyo mikopo! Our external debt has soared significantly!
Hapo watu wanapiga pesa
 
Hatimaye maneno yawa kweli,ahadi yatimizwa ni ya ujenzi wa Bandari Mpya na kubwa ya Bagamoyo.

Hongera sana awamu ya 6,maneno kidogo vitendo vingi

View: https://twitter.com/CloudsMediaLive/status/1693850903143477387?t=GyVBCq4i-s2yPP2KU5CyGg&s=19

Pia soma

Si zawadi DPW kwanini wasijenge wao??
 
Kama Mkataba wa Dubai utaendelea kuwa hai na Tanzania, kulikuwa na haja gani tuwajengee Bandari ambayo watakuja kuichukua na hiyo?

Mtu ameshasema baada ya kuingia Mkataba, hataki uendelezaji mwingine wa shughuli zozote za bandari bila ruhusa yao, kufanya hivyo kutapelekea uvunjifu wa mkataba na Kesi kufungulia huko Ughaibuni.

Sasa kwanini tunafanya hayo, au tuna hela za kuchezea kulipa Wanasheria pamoja na adhabu kama ilivyotokea kwenye Migodi, Meli ya Wachina wa Samaki, Ndege n.k
 
Huu mradi Jiwe aliupiga chini kwasababu alizoziweka wazi kuwa Mkataba wake alikuwa na mapungufu mengi! Samia alipoingia kwa shinikizo la Kikwete wakasema wangeanzisha mazungumzo tena kuhusu mradi huo kuona kama ungeweza kuendekezwa, Cha ajabu Serikali haijaweka wazi mikataba iliyosaini kuurudisha huu mradi na usiri wake lazima utakuwa unaficha uvundo mwingi wa rushwa katika miradi hii ya Serikali ya Samia! Wanafanya mambo yao kisirisiri mpaka awepo mzalendo wa kweli ndio awatonye wananchi!!
Tuambieni wananchi huu mradi wa Bandari ya Bagamoyo unajengwa na nani na kwa makubaliano gani tofauti na yale aliyoyakataa Magufuli?
Jjiwe ni Nani kwenye hii nchi? Pimbi ww
 
Ulaji wa watu huo.. haingii akilini. Kuna mtu wanampa banadari zote na zitakuwa chini yake .. alafu leo wanaanza kumjengea mtu huyo.. 🤮🤮🤮🤮🤮
Ndio mlivyodanganywa na Mwambukusi? 😆😆

Kama Kuna hiyo article basi DP World Yuko sahihi maana Ili upate faidia ya kibiashara,maritime business inataka usiwe na mshindani pembeni Yako.
 
Back
Top Bottom