Serikali yashindwa kuondokana na aina moja ya pesa katika mzunguko!!

emgitty06

Senior Member
Aug 2, 2012
141
26
Ni jambo la aiubu kwamba serikali hii ya hapa bongo imeshindwa kuokana na aina moja ya pesa na kubaki na nyingine. Kinachokera zaidi ni kwamba pesa ambazo ziliingizwa katika mzunguko kama mbadala, hazina viwango (zingatia noti ya shilingi 500). Hii iko wapi kwingine zaidi ya bongo? Vipi athari zake kiuchumi? Its very sad.
 
zilichapishwa wakati wa kuelekea uchaguzi 2010,hapo ushapata jibu baadhi ya hizo noti zilimpigia nani kampeni..2005 aliingia kwa pesa ya epa,2010 kaingia na mgao haramu wa noti mpya
 
We unaonaje kaka. Hapa ni kuachia kila kitu kiende hivyohivyo ila tusikosee tena 2012.
 
Noti mpya zinachakaa haraka kuliko za zamani! noti za za zamani zina ubora kuliko noti mpya! Tanzania kuna maajabu we acha tuu.
 
Miongoni mwa yatakayonifanya nisimsahau Mukulo ni hili la kutuachia notes mbovu kupita maelezo.
 
hii ndio serikali ya BONGO mkuu inanikumbusha enzi za mugabe pesa ilipokuwa ngumu aliwachapishia wananchi minoti akawapa .... kilichotokea ONLY MUGABE KNOWS........
 
Back
Top Bottom