Serikali yapiga marufuku mazao ya uhandisijeni(GMOs) nchini

We kamtu mbona umejaa pumba kiasi hicho? Watu wanazungumzia sayansi wewe unaleta siasa na mambo ya kusema wengine, wengine... Wengine wanatuhusu nini? Ukiletewa GMO unadhani umependwa? Mbona mambo tunayohitaji hayaletwi kwa mshawasha kama hiyo GMO.

Kuna mtu pale Mwenge kakazana saana akiamini yeye gwiji wa sayansi, swa lakini hatuihitaji sasa hivi. Utapewa sifa na pesa kibao za utafiti lakini ibaki huko huko! Hatuhitaji promosheni na kampeni za GMO.
Huyu jamaa wa Mikocheni ni nani? Ni yule Duguru? Huyu mi namuona kama bonge la fala! Ni mtu anayejipendekeza sana! Na watu wa aina hii ni hatari kununuliwa na kuanza kushabikia upuuzi wa akina Bill Gates wanaozungumzia kupunguza idadi ya waafrica na siku hizi anazungumza utadhani naye mtaalamu wa afya. Akileta ufadhiri hapa, wanaofadhiriwa wanadhani kwamba nao ni mashuhuri. GMO, biotech rubbish.
 
RIP DR.SEBI TALKS ON GMO FOODS........

RIP DR.SEBI TALKS ON GMO FOODS.........jpg
 
Back
Top Bottom