Serikali yapiga marufuku matangazo ya tiba za asili na tiba mbadala

Mkuu nashukuru kwa taarifa hii muhimu, hongera sana kwa Dr Kigwangala, serikali ya awamu hii inafanya kazi kwa weledi, sijawahi ona duniani kote ma mmbumbumbu wakijitangaza na kujitukuza kama wanavyofanya wanganga wa kienyeji hapa Tanzania, wote wanajificha kwenye mwavuli wa tiba mbadala and %&$t hivi tiba mbadala gani hujui anatomy na physiology ya mwanadamu?

Dawa moja inatibu kisukari, pressure, ukimwi, ulcers, sukari type 2, figo na nguvu za kiume.... where in hell is this even possible?

Pongezi sana Dr Kingwangala na wizara ya afya, kwa muda huu mfupi tunaweza sema kuwa nchi imepata viongozi

Vipi kuhusu haya mabandiko ya bi ndembo, kinyaunyau, maji marefu, nk?
 
Hiyo marufuku inahusu pia wanaobandika vibao na mabango kuwa wanatibu 'kutuliza mume/mke', 'kuongeza akili za darasani', 'kushinda kesi mahakamani', na 'pesa za majini'?

Hakika Watanzania ni watu wapumbavu sana.
 
Mkuu nashukuru kwa taarifa hii muhimu, hongera sana kwa Dr Kigwangala, serikali ya awamu hii inafanya kazi kwa weledi, sijawahi ona duniani kote ma mmbumbumbu wakijitangaza na kujitukuza kama wanavyofanya wanganga wa kienyeji hapa Tanzania, wote wanajificha kwenye mwavuli wa tiba mbadala and %&$t hivi tiba mbadala gani hujui anatomy na physiology ya mwanadamu?

Dawa moja inatibu kisukari, pressure, ukimwi, ulcers, sukari type 2, figo na nguvu za kiume.... where in hell is this even possible?

Pongezi sana Dr Kingwangala na wizara ya afya, kwa muda huu mfupi tunaweza sema kuwa nchi imepata viongozi

Mtakuja kutuomba radhi uchaguzi mkuu ukikaribia, acheni madharau nyinyi mnajileta wenyewe kuomba dawa za kupandishwa cheo, kushinda uchaguzi, kinga wakati wa kampeni, nk.
 
Mtakuja kutuomba radhi uchaguzi mkuu ukikaribia, acheni madharau nyinyi mnajileta wenyewe kuomba dawa za kupandishwa cheo, kushinda uchaguzi, kinga wakati wa kampeni, nk.

Mkuu pengine wewe ni mganga wa kienyeji, nisaidie tu kitu kimoja, hivi inawezekanaje dawa moja tu ikatibu Sukari, Pressure, vidonda vya tumbo, figo, ukimwi, na kuongeza nguvu za kiume kwa wakati mmoja?

Unadhani ni sawa mtu kujitangaza kuwa ana taaluma ambayo hata yeye haijui kama mmoja alieokota cheti cha mwaka mmoja mtandaoni na ameshatibu watu miaka nenda rudi bila taaluma yeyote?

Vipi unajua hadi mtu anaitwa dokta amesoma nini na kwa miaka mingapi? hivi mtu aliefaulu kuanzia la kwanza had chuo kikuu anakuwa vip mbadala wa mtu ambaye hata darasa moja hajaliona?

Tumewaruhusu muwe wanasiasa na kutabiri kwani hizo hazina tatizo sana ila unaona vip mkatuachia afya zetu mkuu
 
Juzi kati le mutuz kaja kijiweni mori analia na Kigwangwala kamfungia dili yake kwa mwaka. Jamaa wasanii sana alafu wanafanya usanii kwenye afya za watu. Kuna dawa inatangazwa hiyo inaitwa trevo inapunguza unene kwa wanaotaka kupunguza mwili pia inaongeza unene kama unataka kunenepa hahahah yani inafanya vyote vyote inategemea unataka nini na dawa ni hiyo hiyo wanakwambia imetengenezwa kwa matunda.
 
wanawanyima haki yao ya msingi.
kama mtu anakibali cha uganga wa asili kwa nini asiwe huru kujitangaza? .

Hivi umewahi kusikia hospitali zina vipindi maalum vya kutangaza huduma zao? Maadili ya kazi za utabibu haziruhusu.
 
hata tusipojitangaza wateja wanakuja tu, kikubwa ni matokeo chanya ya ile tiba
 
Back
Top Bottom