Serikali yamuumbua RC Mbeya

mbona naona natembezwa kama kwenye maze ya aina fulani?

Kifukwe ni rafiki ya Mwakyembe, Mwakyusa, Mwandosya au ni rafiki ya Mwakyowassa na Mwakyastamu?
 
Kifukwe ni rafiki wa JK

Ogah,

Kifukwe ni rafiki wa JK, Manji na Mengi kwa ajili Yanga lakini kwenye siasa za Kyela yuko na Dr. Mwakyembe. In fact ndio walio sponsor kampeni ya Dr. hapo mwaka 2005.

Siasa na biashara inabidi ujue kula huku na huku.
 
Huyu lazima kwanza achunguzwe huyu Mwakipesile, naona alizawadiwa u director kidogo hapa

2008-04-14 09:24:39
Na Mwandishi Wetu

Wakati Rais mstaafu Benjamin Mkapa na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wa awamu yake, Bw. Daniel Yona, wanashutumiwa kwa kujimilikisha mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira, Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu, Bw. Omar Chambo, anadaiwa kuwa Mkurugenzi wa kampuni yao ya Tanpower Resources iliyonunua mgodi huo. Hata hivyo, Bw. Chambo amejitetea kwamba ukurugenzi wake katika Tanpower Resources ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya taifa.

``Nimo kwa ajili ya serikali. Ni mkurugenzi wa hisa za serikali. Tanpower Resources ina asilimia 70 za hisa na serikali inamiliki zilizobakia 30. Tuko mimi na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,`` alisema bila kutaja jina la mkuu huyo wa mkoa. Mkuu wa sasa wa mkoa huo ni Bw. John Mwakipesile.

Katibu Mkuu wa Miunbombinu anadaiwa kupewa wadhifa huo wakati huo akiwa Kaimu Kamishna wa Madini katika Wizara ya Nishati na Madini kipindi hicho Bw. Yona akiwa Waziri.

Bw. Chambo alisisitiza kuwa yuko pale kwa niaba ya serikali na si kwamba alichaguliwa na akaongeza kuwa aliingia pale kwa cheo chake kama Kamishna wa Madini ili kulinda maslahi ya taifa na si kosa lake.

Alipoulizwa iwapo cheo hicho alikipata kwa staili ya wadhifa wake, Kamishna wa Madini wa sasa anaweza kuchukua jukumu la kuwa Mkurugenzi wa Tanpower Resources? Alijibu , `siyo lazima bila kufafanua zaidi``.

Alipoulizwa juu ya madai kuwa umiliki huo unalalamikiwa na ulifanywa bila stahili kwa vile Rais na Waziri wake walijinyakulia mali nje ya utaratibu aliwatetea wahusika.

Alimtetea Rais Mkapa kuwa hayumo kwenye mradi wa Kiwira na kwa upande wa Bw. Yona alisema naye pia hayupo bali ni mtoto wake.

Alishauri watu kusoma mkataba wa makubaliano ya mradi wa Kiwira ndipo watajua na ni nani katika mradi huo.

Pamoja na malalamiko ya miradi ya Richmond uliyowahusisha viongozi kadhaa, Rais Mkapa amekuwa akilalamikiwa kwa kujinyakulia mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira ambao ni mali ya umma.

Imekuwa ikidaiwa kuwa alichukua machimbo hayo chini ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC).

Madai dhidi ya Rais mstaafu yanasema kuwa yeye na Bw. Yona walijimilikisha mradi huo akiwa Ikulu baada ya kuunda kampuni yao binafsi Tanpower Resources iliyosajiliwa Desemba 2004 na kisha `kujitwalia` mgodi huo rasmi Machi 2005.

Makaa ya Kiwira, mkoani Mbeya baada ya kuchimbwa na kuchakatwa, huzalisha umeme katika mradi mkubwa wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 271.8 karibu sawa na Sh. bilioni 340.

Umeme huo unatarajiwa kuuzwa kwa Shirika la Umeme TANESCO.

Licha ya Rais mstaafu Mkapa kuhusishwa na tuhuma mbalimbali za kufanya biashara akiwa Ikulu, hajawahi kujibu kama `anapakaziwa` wala kuomba radhi taifa kama madai hayo ni ya kweli.

SOURCE: Nipashe
 
Mtanzania
na wewe umeanza, ama una ubia na huyo jamaa? sisi tunakumbuka kuwa mwakipesile alihojiwa na akasema hakuna maafa ya kutisha huko Kyela, sasa leo na wewe waja na hoja yako, ok!!
 
Mkuu,

Hii si kweli kwani mkuu wa mkoa Mwakipesile ameshiriki ipasavyo kutoa misaada ya maafa kule Kyela.

Labda tofauti tu Mwakipesile hajaenda kwenye TZ au radio kutamba katoa nini au kasimamia nini.

Kama unataka naweza kukupatia simu ya mkuu wa wilaya ya Kyela ambaye ndiye anasimamia misaada yote na ukapata ukweli.

Mtanzania vipi kama Mkuu wa Wilaya akiamua kumfichia siri Boss wake ? Hawa si walivutana last time juu ya Mwakyembe na kupokea kule Mbeya ama nimesahau mara hii ? Nirekebishe kama nakosea
 
Mtanzania
na wewe umeanza, ama una ubia na huyo jamaa? sisi tunakumbuka kuwa mwakipesile alihojiwa na akasema hakuna maafa ya kutisha huko Kyela, sasa leo na wewe waja na hoja yako, ok!!

Mkuu,

Ndio tunataka data kama hizo, kama una hiyo taarifa ilete hapa. Mimi sina ubia wowote na Mwakipesile ila itakuwa wrong kumtuhumu kwa mambo ambayo najua hajayafanya.

Kwa data nilizo nazo Mwakipesile alihojiwa hata na ITV na TVT. Sasa kama tuna hawa waandishi hapa wanaweza kutuambia ukweli na ikiwezekana kutuletea statement nzima ya Mwakipesile.

Mwakipesile ameshiriki vya kutosha katika kusaidia walioathirika na maafa Kyela, haya mambo mengine naona ni kama mambo ya siasa zaidi kuliko ukweli. Kama kuna mtu ana ushahidi tofauti basi aulete.

Mwakipesile analaumiwa kwa mengi sana Kyela lakini kwahili sijamsikia mwana Kyela anayesema Mwakipesile alikwamisha misaada au alitaka kuzuia misaada. labda hao wanaoneza majungu ya chini chini.

Halafu kusema hakuna maafa ya kutisha na kuzuia misaada ya maafa ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwa mtu aliyeko Dar anaweza kuona Kyela yote ilizama lakini ukweli kwasisi tunaoijua ni kama asilimia 20 ndio ilikuwa affected.

Mimi mwenyewe baada ya kusoma magazeti nilipata hofu na kuwasiliana na nyumbani maana hata kata ninayotoka mimi ilitajwa. Jibu nililoambiwa ni kwamba hapana, hakuna mafuriko zaidi ya yale ya kawaida ya kila mwaka. Ila
kuna kata kama tano kati ya kata 22 za Kyela ambazo zilikuwa affected mno. Nazo ni Lukwego, Kajunjumele, Matema na Mwaya. Kata zingine saba ambazo mbunge wa Kyela aliwahi kuzitaja, zilipata mafuriko ya kawaida tu na wala hata hawakuhitaji misaada. Lazima pia mujue Kyela iko bondeni kabisa, hivyo kama kuna mvua kubwa kuna sehemu lazima zitapata mafuriko hata kama ni ya siku moja.

Please prove me wrong kwa kuleta statement ya Mwakipesile hapa, vinginevyo
watu wengine mnaingia kichwa kichwa kukuza tatizo la Kyela bila kujijua.
 
Mtanzania usiwe kama hujui uadui uliopo kati ya Mwakipesile na Mwakyembe ata wenyeji wa uko wanakwambia.
Ati akisupport misaada ati itaonekana ni mbunge aliefanya ivyo.
Mbaya zaidi waathirika wengi wa hayo mafuriko wanatoka karibu na kwao(mwaya na ipinda) wakati kwa mwakyembe kuko shwari kidogo ambako ni Mwitete.
Iiz bifu za kipumbavu tuachane nazo bse raia ndo wanaangamia.
Ni kheri JK akampiga chini huyu RC hafai kabisaaaa.
Kama jimbo tuu ilimshinda mtu anampa mkoa si maajabu ya Musa haya
 
Mtanzania vipi kama Mkuu wa Wilaya akiamua kumfichia siri Boss wake ? Hawa si walivutana last time juu ya Mwakyembe na kupokea kule Mbeya ama nimesahau mara hii ? Nirekebishe kama nakosea

Lunyungu,

Ni kinyume chake, mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wanaelewana vizuri

Pia Mwakipesile karibu weekends zote anakuwa Kyela kwake, kwahiyo nina uhakika anajua kwa undani yanayotokea Kyela.

Nina uhakikahili jambo sio kweli, ila kuna watu labda wana SPIN statement ya Mwakipesile kwa lengo la kuendeleza huo mgogoro.

Kama livyosema mkuu wa wilaya wakati wanampokea Mwakyembe, kuna watu wameufanya ugomvi wa viongozi wa Kyela kama mradi.

Kwa Kyela ninayoijua mimi, laiti Mwakipesile angesema hivyo, hilo lingelikuwa issue kubwa sana, hata mimi ningepata habari tu.
 
Mtanzania usiwe kama hujui uadui uliopo kati ya Mwakipesile na Mwakyembe ata wenyeji wa uko wanakwambia.
Ati akisupport misaada ati itaonekana ni mbunge aliefanya ivyo.
Mbaya zaidi waathirika wengi wa hayo mafuriko wanatoka karibu na kwao(mwaya na ipinda) wakati kwa mwakyembe kuko shwari kidogo ambako ni Mwitete.
Iiz bifu za kipumbavu tuachane nazo bse raia ndo wanaangamia.
Ni kheri JK akampiga chini huyu RC hafai kabisaaaa.
Kama jimbo tuu ilimshinda mtu anampa mkoa si maajabu ya Musa haya

Njowepo,

Nikisoma ulivyoandika najua ni mgeni Kyela. Hakuna anayebisha kwamba Kyela hakuna ugomvi na mimi mwenyewe nimeliandika hili mara nyingi.

Ila nafikiri imefika mahali lazima tukubali kuna watu wanapenda kuona huo mgogoro unaendelea na wanaeneza mambo ya uwongo.

Mfano ni hili jambo la kwamba Mwakipesile anazuia misaada. Sio kweli, Mwakipesile ameshirika vya kutosha. Nafikiri nimeandika vya kutosha na sioni mtu anakuja na ushahidi wowote zaidi ya tuhuma.

Mimi sio mpambe wa Mwakipesile ila kuna info ninazo ambazo zinaonyesha hii habari sio kweli.
 
Mtanzania usiwe kama hujui uadui uliopo kati ya Mwakipesile na Mwakyembe ata wenyeji wa uko wanakwambia.
Ati akisupport misaada ati itaonekana ni mbunge aliefanya ivyo.
Mbaya zaidi waathirika wengi wa hayo mafuriko wanatoka karibu na kwao(mwaya na ipinda) wakati kwa mwakyembe kuko shwari kidogo ambako ni Mwitete.
Iiz bifu za kipumbavu tuachane nazo bse raia ndo wanaangamia.
Ni kheri JK akampiga chini huyu RC hafai kabisaaaa.
Kama jimbo tuu ilimshinda mtu anampa mkoa si maajabu ya Musa haya
 
Nimesoma maelezo mengi ya watu hapa.......nami niseme yangu machache

Ideally.....sioni ni kwa vipi mtu anaweza kuzuia msaada kwa mtu ambaye ni mhitaji....ideally hiyo haipo.........

.....siyajui mazingira ya hawa wahemishimiwa......however hebu tuangalie ni kwa jinsi gani misaada huwafikia wananchi.......yaani logistics

.......kwa kifupi serikali ndio ina logistics zote (if not then higher percentage) katika kufanikisha zoezi zima la kufikisha misaada kwa the needy.........

Nani mwenye mamlaka juu ya hizi logistics.......Mkuu wa Wilaya......Mkuu wa wilaya anaripoti kwa nani..........Mkuu wa Mkoa

......inaonekana Mkuu wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa they work closely together which is a very good thing..........sasa sina uhakika ktik kufanikisha (perfromance ya serikali ya Mkoa)zoezi la kufikisha misaada kwa the needy wa kyela wali-react namna gani........kama ilikuwa slow/inefficient then wanaomlalamikia Mkuu wa Mkoa na timu yake and hence siasa........they have a point

Moreover, ninachotaka kusema ni kuwa hizi logistics zina bureaucracy zake.....ambazo inaweza ikawa factor mojawapo ya kuonekana misaada haiwafikii walengwa on time na hivyo kuleta picha za ugomvi zinazoendelea hapa..........

......kilichotakiwa ni kwa Mkuu wa Mkoa kuweka tofauti zao na Mbunge husika pembeni na ku-join forces.......(hili hatukulisikia)......i.e. to work together....expeditiously........for the same purpose........sasa kama hii support ya Mkuu wa Mkoa haikuwepo......wanaolalamika they have a point......

.......mbili ni lazima tukubali kuwa both Viongozi kuanzia Mkuu wa Mkoa , Mkuu wa Wilaya na hata Mbunge walikuwa caught off-guard..........na hili tatizo si la kyela peke yake........mention anywhere in Tz kulikotokea majanga utapata the same story......

..........sijui kwa nini hatujifunzi............and it is very easy kwani critical areas kwa majanga zinajulikana......

.........it is high time kwa serikali na vyombo vyake husika kuchukua hatua madhubuti hata ikibidi ku-station watu and ready on logistics and/or resources katika hizi critical areas.........
 
Umeuliza maswali mengi ya maana, kwa ufahamu ni kwamba kama misaada haikutosha ni kwasababu ya uchache/uhaba wa misaada kulinganisha na mahitaji ya watu.

Pia logistics, haikuwa rahisi kufikisha misaada kwa walengwa. Mfano mmoja wapo magari makubwa ya jeshi ambayo yalipeleka vifaa na kwenda kujenga madaraja, yalikwama njiani kwa muda mrefu na nyuma yakaharibu barabara kiasi kwamba ikawa ngumu hata magari ya misaada kufika kwa wahusika.

Pia nijuavyo mimi misaada karibu yote ilisimamiwa na mkuu wa wilaya na kamati ya maafa.

Mbunge alikuwako Kyela wakati wa maafa lakini baadaye akaenda Dodoma bungeni na kisha kurudi tena. Mtu aliyekuwa pale muda wote akipokea misaada
ni mkuu wa wilaya.

Binafsi nilitoa msaada wangu na mkuu wa wilaya ndiye alipokea japo walengwa walikuwa identified tayari. Wengine hatutaki msaada wa kujibana uliwe na mafisadi.

Ndio maana inaniwia ngumu mno kuamini maneno yanayoongelewa hapa bila ushahidi wowote. Sawa mimi niko Europe lakini nina network ya kutosha kule wilayani kujua mambo mengi.

Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kwamba misaada haikutosha na kuna watu wengi tu wanahitaji misaada hata sasa. Kwa case yetu mkuu wa wilaya alishukuru hapo na baadaye bado akaja ofisini na kuja kushukuru. Alitoa mfano wa vijana ambao walikuwa wanasaidiana na wanajeshi kujenga madaraja, kwamba walikuwa wanakaa siku nzima hawana chakula, wakawa wanadoea vyakula vya wanajeshi jioni, anasema ilikuwa inamwuma sana lakini kila akipata msaada alikuwa anajaribu kuwasaidia na wenyewe.

Ndio maana kwa kweli nashindwa kuelewa nia ya watu ambao wanakuja hapa na kusema mkuu wa mkoa alikuwa anakwamisha misaada.

Tatizo la Watanzania ni maneno mengi, wakiambiwa wachangie wanatoa ahadi zisizo na ukweli lakini mwishoni kunakuwa hakuna michango.

Kyela kuna watu na makundi mengi sana ya wana Kyela pamoja na serikali yalichangia lakini ukweli misaada haikutosha.

Haya mambo mengine ya kupakana matope yanasikitisha sana, hizi siasa za namna hiyo ni balaa kabisa.

Mwakipesile naye ana makosa mengi tu lakini je ndio kweli tumsingizie hata kwa yale ambayo hajafanya?

Anayetaka anitumie PM naweza kumpa simu ya mkuu wa wilaya au hata ukitaka simu za madiwani wa sehemu husika basi naweza kukutafutieni na wenyewe mufuatilie na kujua ukweli badala ya kuunga mkono hata mambo yasiyo na ukweli.
 
Mtanzania, tuamini tunaoishi Mbeya! RC huyo kaongea na vyombo vya habari mara tatu akisisitiza kuwa hakuna maafa Kyela, ni mafuriko ya kawaida tu! Wewe mwenyewe mpigie Mkuu wa Wilaya, Mashimba H. Mashimba, utaelewa tu kuwa kuna tatizo kubwa mahali fulani. Lazaros
 
Lazarosmtindi,

Kama kaongea kwenye vyombo vya habari si lete hiyo quote? Mara tatu nzima na bado mnashindwa kuja na hiyo statement hapa, why? Hakuna hata gazeti moja ambalo liliweza kuandika alichosema?

Mimi nimeongea na mkuu wa wilaya na anasema sio kweli na badala yake ni siasa za Kyela. Pia najua mkuu wa mkoa alikuwa Kyela akisaidiana na wengine kusimamia maafa na misaada, sasa hii ya kusema Kyela hakuna maafa inatoka wapi?

Badala ya kuongea maneno toeni misaada na pelekeni Kyela, kama mtazuiwa kwasababu mkuu wa mkoa anakataza, mtakuwa na ushahidi wa kutosha.

Mkuu wa wilaya anapokea misaada, mbunge naye alitoa njia za kufikisha misaada, kama kuna watu wanataka kusaidia Kyela kuna njia na utaratibu wa kufanya hivyo.

Haya mengine ya wapambe wa wanasiasa wanaokuja kuchafuana hapa JF kwa cost ya Kyela, mimi naona ni kupoteza muda. Politics zitarudi 2010, kwasasa chapeni kazi.

Tuache maneno matupu hata mahali ambapo tunaweza kuonyesha kwa vitendo. Wale waliotoa misaada yao Kyela wanajua ilipokelewa bila mizengwe yeyote. Kama kuna mtu alitaka kutoa na akazuiwa labda ndio leteni experiences zenu, vingine hizi politics politics politics kwa cost ya maendeleo ni kupoteza muda.

Hapa kuna waandishi wa habari, si mtafuteni mkuu wa wilaya na kumhoji? Pia kama ni kweli Mwakipesile alisema hivyo, si Mwakyembe aseme wazi kwenye TV au hata gazetini? Maana mtu anayesema hakuna maafa wakati watu wanateseka ni muuaji na lazima aumbuliwe. Kama mbunge ana habari hizo, kwanini akae kimya? Tuwe wakweli, kuna mambo mengine ni black and white na hakuna haja ya kujifanya kuna rangi nyingine katikati. Wenye habari waende kwenye TV na kumsagia mkuu wa mkoa kwa upuzi huo.

Kinachoshangaza, wanalalamika chinichini huku wanajifanya wana ushahidi.

Imefika mahali I am really tired na siasa hizi za ugomvi kila siku kule nyumbani. Njia ya kumuumbua mnafiki ni kusema ukweli. Wenye ukweli muumbueni Mwakipesile waziwazi na sio kueneza uvumi pembeni.

Mkuu wa mkoa naye anajidai yeye ndio katoa misaada mingi wakati kila mtu anajua hiyo misaada ni ya serikali na mingine ya watu ambao walipitishia kwake kwasababu tu ni mkuu wa mkoa.

Siasa za Afrika ni ujinga mtupu, nafikiri kwasababu wananchi tunaendeleza ujinga huo, na wao wanaona ni fair game.
 
Mtanzania,

Ninakuaminia kwa ukweli wa dataz za Mbeya, so far uko right on the money, kwenye hii topic unasumbuliwa na wale wale watu wa majina mengi na kama ninavyosema siku zote kuwa majina mengi maana zake ni nyingi sana ikiwa ni pamoja na kutojiamini na ukosefu wa facts za hoja, na hasa kutokuwa na hoja kabisa lakini kujaribu kuharibu mijadala muhimu kwa taifa na wananchi wake, Mkuu Mtanzania kwenye hii topic kuwa watu wawili wa kutoka huko Mbeya ninawaona wanajaribu kukushambulia na huyu "jamaa yetu" mmoja mzee wa usaliti yaaani Judas lakini naona bado hoja nzito ziko kwako na ninakuaminia,

Anyway kwa kuongeza tu:-

1. ninajua kuwa Kifukwe, ambaye mkewe ni balozi wa Norway Uganda, ni rafiki wa karibu sana na muungwana ambaye ndiye aliyemuomba kuwa mwenyekiti wa Yanga,

2. kwenye siasa za Mbeya yeye na mmiliki wa wazee wa Ngwasuma, Kasyanju wako na Mwakyembe na Mwandosya kwa sababu Kifukwe na Kasyanju ni watu wasiopenda ujinga ujinga ni watu very serious na financially wako safi tena sana na wana influence nzito sana huko Mbeya, na ndio hasa waliohusika kumtwanga Tom kwenye NEC!

3. Mwakipesile alipewa u-RC, baada ya mstaafu wa idara kumuomba muungwana asimpe uwaziri mtoto wake, na badala yake ampe Mwakipesile u-RC ambaye ni patner wake mkubwa wa bisahara wa muda mrefu sana, hasa huko Kyela!

4. CDF wa sasa na hata wa zamani(Mboma), they have absolutely nothing to na siasa za huko Mbeya, absolutely nothing ila ninaaamini kuwa mboma might have something to do na Kiwira na Mkapa! lakini yatatoka tu hivi karibuni yote!

5. Ujeuri wa Mwakipesile unatokana na mstaafu wa idara, lakini hawezi kuzuia misaada kwa sababu anajua kuwa atawaudhi watu wengi sana wa kutoka huko wenye ifluence kali na siasa za huko, ninajua kuwa anayo makosa mengi sana ya kujaribu kumpinga Mwakyembe, lakini huo ubavu hana maana angekuwa nao, basi Tom angeshinda NEC!

Otherwise, darasa ni zito sana hili, wekeni vitu wanangu!
 
Nimekutumia kwenye PM maana sijui kama ni vizuri kutuma namba hiyo hapa.
Nikirudi kwenye mada, Ukiondoa migongano ya kisiasa baina ya M'kyembe na M'kipesile, nini nafasi ya Uchifu huko Kyela katika koo hizi mbili?
 
Back
Top Bottom