Serikali ya CCM haina matumaini ya kuwapa wanafunzi zaidi ya umachinga?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Nauliza wadau: Hivi serikali ya CCM ina kitu gani cha kuwapa wanafunzi wanaomaliza shule zaidi ya umachinga? Hawa maelfu ya wanafunzi wa Kidato cha 4 waliofeli, na hata waliofaulu, kitu kikubwa kinachowangejea ni kutembeza nguo nk barabarani.

Nadhani ndiyo maana kufeli kunazidi. Fikiria: Mwanafunzi anafanya mitihani huku mawazo yake ni kwamba siyo kufeli tu, hata akipasi ni umachinga tu ndiyo unaomngoja. Siyo wote, lakini wengi wao huwaza hivyo.

Nawasilisha.
 
Asante Mkuu Zak kwa mada hii. CCM haina matumaini ya kuwapa si wanafunzi tu, bali wananchi wote isipokwa labda wale wachache sana wajanja -- yaani mafisadi. Hawa ndiyo wanayo matumaini makubwa katika kuifaidi nchi hii.
 
Kuna mpango wa kilimo kwanza umeanzishwa, walijua watapata zero wakalime hapa pm pinda last month alisema atatumia hao vjana wanaomaliza form 4 knye kilimo!
 
Back
Top Bottom