Serikali ya Buhari kuwapatia N5000 kila mwezi Masikini nchini Nigeria ili kupunguza ugumu wa maisha

Travibela

Member
Mar 10, 2016
76
58
BUHARI.png

Rais Buhari wa Nigeria.

Rais wa Nigeria, Mohammed Buhari atangaza kuwawezesha watu wasio na ajira na wanaoishi maisha magumu nchini humo kwa kuwapatia fedha za kujikimu ili kuwapunguzia ukali wa maisha.

Inakadiriwa kila familia kupokea takribani Naira 5000 kwa mwezi.

Pamoja na kupatiwa kiasi cha fedha, pia serikali hiyo imedhamiria kuwapa hisani ya chakula familia duni kwa utaratibu maalum.

Sio hivyo tu, wajasiriamali wadogo kama vile mamalishe na wauza bidhaa ndogondogo nao kunufaika na mpango maalumu wa mikopo isiyohitaji dhamana ya mali.

Haya yote yanachagizwa na pato linalotokana na biashara ya mafuta nchini humo na tayari kiasi cha bajeti kimeshatengwa kwa ajili ya kutekeleza maazimio hayo..

Ndio hivyo wadau!
=============

The government of President Buhari rolls out N.5 trillion Economic Palliative Package ‎ – The social initiatives meant to ease pains of Nigerians over the hike in fuel prices – The government will pay N5000 monthly to one million extremely poor Nigerians for 12 months

Buhari President Muhammadu Buhari has unveiled a social investment package designed to impact on the lives of over eight million Nigerians. This was contained in a statement by Laolu Akande, senior special assistant to the president, during an interactive session with reporters in Abuja. He clarified that some parts of this package would become operational in the coming weeks.

The statement reads in part: “The Buhari presidency is keen to ensure that Nigerians are lifted and that if necessary on an ongoing basis, palliatives measures would always been considered to address the conditions of the people.

“Long before now, the presidency has made adequate arrangements in the 2016 budget to ensure that Nigerians are lifted from poverty and hardship. “All together the federal government would be directly impacting the lives of more than 8 million Nigerians in different social investment 2016 budget spending that would provide succor and be a ready-made palliative to ordinary Nigerians.

“The direct payment of N5000 monthly to one million extremely poor Nigerians for 12 months as provided for in the 2016 budget for which N$68.7B has been appropriated.

“The government has also made available a direct provision of very soft loan -cash for market women, men and traders, including artisans and agric workers. This would be for a total of 1.76m Nigerians, without the requirement for conventional collateral.

“Some of the traders will likely get about N60,000. A total sum of N140.3B has already been appropriated for this in the budget. The details also showed their there would be payment of between N23,000 to N30,000 per month to 500,000 unemployed graduates who would be trained, paid and deployed to work as volunteer teachers, public health officers and extension service workers among other responsibilities.

“They would also be given electronic devices to empower them technologically both for their assignments and beyond. 100,000 artisans would also be trained and paid N191.5B has been set aside for this in the passed budget.

“At least 5.5 million Nigerian primary school children -ie starting first in 18 states-three per geopolitical zones-would be fed for 200 school days under the free Homegrown School Feeding Programme.

N93.1B has been appropriated for this in the 2016 budget. “In this same vein, 100,000 tertiary students in Science Technology Engineering & Maths-STEM, plus Education will partake in the N5.8B already provided for this education grant in the budget. This payment would also be paid directly to the students.”

The presidential aide added that this is beside the jobs that would be created by the infrastructural projects that would be restored and the new ones that would soon be taking off. Ibe Kachikwu, the minister of state for petroleum, has on May 11 announced the removal of fuel subsidy and the increasing the pump price of petrol to N145 per litre. Nigerians have been angry last week with the Buhari government and its decision to set the new price for petroleum, saying that the president is adding pains to them, but not ease their sufferings. The APC had during its campaign supported the promise of paying N5,000 as monthly stipend to the most vulnerable in the country.

Read more: MONTHLY N5000 FOR THE POOR IN NIGERIA
 
Haya mambo ya kuwapa watu wenye taaluma, afya na uwezo wa kuzalisha hayajawahi kufanya kazi na kuleta matokeo yakinifu endelevu.

Sidhani maamuzi haya yameshirikisha wachumi au ni ile ile ya mtu kuamka na kutangaza kwa mantiki ya kujifurahisha ama kujitafutia umaarufu

Nigeria ni moja ya nchi zenye kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira duniani.

Kugawa chakula na fedha hakuondoi tatizo la ajira wala hakuondoi umaskini.

Nilitegemea serikali yenye maskini wengi kama Nigeria, wasomi wengi kama Nigeria na ukosefu wa ajira kama kule, ingeanza na kutengeneza milango ya ajira kwanza ili kuongeza uzalishaji na matumizi sahihi ya raslimali.

Hawa wasomi na vijana wenye nguvu hawaweze kupata satisfaction kwa kupewa misaada ya vyakula. Wanahitaji thamani ya nguvu na utaalam wao. Tujifunze kwa Sadam aliwafungia wasomi wasiende nje na hawakuwa na kazi za kufanya kiasi watu na taaluma zao sana sana wakaishia kuwa waendesha taxi ili wawe busy. Gadafi suala lake msiliangalie kwa mtazamo wa ugawaji wa mikate mkawashangaa kwa nini raia waliamua pamoja na kuwatupia mikate.

familai maksini hazitakombolewa kwa kupewa fedha. Huo uwe mkakati labda wa dharura wa uokoaji lakini kunastahiki mpango kamli wa kutransform maisha ya hizi familia maskini ili ziweze kujihudumia na kuondokana na dependency syndrome ambayo huishia utumwa wa kifkira na umaskini endelevu.

Buhari ana lake jambo!. Ngoja afanye, mtaona.
 
Hivi unajua siku zote ukijiona unaakili sana unacreate upumbavu naomba nikuulize ni wachumi gani wa

Duhh bro hauko deep ata kidogo hivi kuwapa nafuu wananchi wa kawaida directly ni kosa? Wakati nchi ina uwezo huo mbona watu wanalipwa mishahara hewa fedha nyingi tu (tatizo la mishahara hewa ni karibia Africa nzima) iweje kuwasaidia watu iwe shida? ? Kumbe huu umaskini wa Africa utaishaga lini? ? Nigeria ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi sana duniani ila maisha ya watu ni duni jiulize kwanini kama sio ufisadi
 
Mbulula in the building unajua siku zote ukijiona unaakili sana unacreate upumbavu naomba nikuulize ni wachumi gani wa

Buhari ameanza na grant km za 50 mil au mamilioni ya JK. Naafiki Bro. Presida Ben aliwahi sema.. Watanzania wavivu wa kufikiri.. He was right... Baadhi yenu wabinafsi na mnapenda mawazo yenu zaidi ya Tanzania.. Sera hizi za kijamii za Buhari sio mpya hata Ulaya wanawapa support raia wao. Wengi wenu wamezowea kujinufaisha ni wabinafsi kupindukia... Shame on you..
 
Mi naungana na alietoa mchango na naomba nokupinge kwa sababu mbili. Kwanza kugawa pesa na/ ay chakula hakuna uhakika wa sustainability ya hilo jambo in the long run. How sure are they production ndani ya nchi itasustain food stamps na unemploymenr benefits kwa muda mrefu? Pili kawaida ya binadamu wengi, sio waafrica tu, akipata kitu hatakua creative kutafuta kazi mbadala kwa sbb tyr anapata chakula. So willingness kujishughulisha inapungua wanarelax. Which means wataongeza idadi ya watu wanaotaka kuishi on those benefits rather than kupunguza umaskini nchini. Ni wachache sana ndio hawatakua hvy. Mfano mzuri look at ombaomba hapa nchini. Hawatak kuacha kuomba na ni wakali wakiambiwa wanarudishwa vijijini. Na hata kama wanapata pesa ya mtaji hata wa karanga hawaanzishi biashara coz wanakula pesa ya watu bure.
 
Buhari ameanza na grant km za 50 mil au mamilioni ya JK. Naafiki Bro. Presida Ben aliwahi sema.. Watanzania wavivu wa kufikiri.. He was right... Baadhi yenu wabinafsi na mnapenda mawazo yenu zaidi ya Tanzania.. Sera hizi za kijamii za Buhari sio mpya hata Ulaya wanawapa support raia wao. Wengi wenu wamezowea kujinufaisha ni wabinafsi kupindukia... Shame on you..
Ulipaswa umjibu huyo jamaa niliyemquote sababu ulichoandika ndicho nilichomaanisha unajua kusafiri nchi za watu na kuona watu wanavyoishi ni elimu kubwa sana.
 
Haya mambo ya kuwapa watu wenye taaluma, afya na uwezo wa kuzalisha hayajawahi kufanya kazi na kuleta matokeo yakinifu endelevu.

Sidhani maamuzi haya yameshirikisha wachumi au ni ile ile ya mtu kuamka na kutangaza kwa mantiki ya kujifurahisha ama kujitafutia umaarufu

Nigeria ni moja ya nchi zenye kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira duniani.

Kugawa chakula na fedha hakuondoi tatizo la ajira wala hakuondoi umaskini.

Nilitegemea serikali yenye maskini wengi kama Nigeria, wasomi wengi kama Nigeria na ukosefu wa ajira kama kule, ingeanza na kutengeneza milango ya ajira kwanza ili kuongeza uzalishaji na matumizi sahihi ya raslimali.

Hawa wasomi na vijana wenye nguvu hawaweze kupata satisfaction kwa kupewa misaada ya vyakula. Wanahitaji thamani ya nguvu na utaalam wao. Tujifunze kwa Sadam aliwafungia wasomi wasiende nje na hawakuwa na kazi za kufanya kiasi watu na taaluma zao sana sana wakaishia kuwa waendesha taxi ili wawe busy. Gadafi suala lake msiliangalie kwa mtazamo wa ugawaji wa mikate mkawashangaa kwa nini raia waliamua pamoja na kuwatupia mikate.

familai maksini hazitakombolewa kwa kupewa fedha. Huo uwe mkakati labda wa dharura wa uokoaji lakini kunastahiki mpango kamli wa kutransform maisha ya hizi familia maskini ili ziweze kujihudumia na kuondokana na dependency syndrome ambayo huishia utumwa wa kifkira na umaskini endelevu.

Buhari ana lake jambo!. Ngoja afanye, mtaona.

Ndugu unaujua umaskini ww..?
 
Ndugu unaujua umaskini ww..?

Ninajua ndiyo na zaidi ya hapo. Hakuna umaskini unaondolwa kwa kugawa fedha na chakula wewe.

Sana sana angelisema anagawa chakula kwa familia za wasio na uwezo wa kufanya kazi lakini si kwa kusema maskini tu. Huo ni mpango mpofu na hauendi popote!!!!!!!!!!!!
 
Mshukuru baba yako kwakua alikuandalia mazingira mazuri ambayo ulikua ukiwa shuleni hufikirii ukirudi nyunbani utakula nn. Msiwadanganye watu kuwa eti kuwasaidia wasio jiweza ni kiwadumaza.

Kwanza naomba ujue kuwa kwa kuwabeba hivyo itawasaidia kufanya mambo mengine ambayo wao walikua wanaona ni ndoto. Kwa mfano, ukimpa mtu msaada wa chakula unakua umemfanya aweze kutumia akili yake kufanya mengine badala ya kufikiri atakula nn.

Pili lazima ujue kuwa binadamu anamahitaji mengi zaidi ya chakula. Kwahiyo ni lazima aendelee kutafuta.
Kumpunguzia mzigo wa chakula inamsaidia pia kutatua matatizo mengine. Mfano familia yenye watoto wanaosoma na ni masikini. Itawasaidia watoto wa familia hiyo kusoma bila msongo wa mawazo na njaa kwakua uhakika wa kula upo.

Namalizia kwa kumpongeza rais wa nigeria kwa kuliona hilo na ninamshauri asivunjike moyo kuwasaidia masikini
 
...Mipango kama hii huwa angalau na mafanikio pale inapo attach conditions kadhaa kwa mtu ku qualify kupata hiyo fedha.

...Brazil ilifanikiwa kiasi, kwa ku attach conditions, kama recipient kulazimika kupeleka watoto shule, n.k.

...Hata India wana mpango unaofanana na huu kwa namna moja. Kitu cha muhimu, hamna cha bure, lazima hao maskini wa qualify, kwa kutimiza conditions fulani. Hapo ndio mpango utakuwa na maana na utafanikiwa.
 
Mshukuru baba yako kwakua alikuandalia mazingira mazuri ambayo ulikua ukiwa shuleni hufikirii ukirudi nyunbani utakula nn. Msiwadanganye watu kuwa eti kuwasaidia wasio jiweza ni kiwadumaza.

Kwanza naomba ujue kuwa kwa kuwabeba hivyo itawasaidia kufanya mambo mengine ambayo wao walikua wanaona ni ndoto. Kwa mfano, ukimpa mtu msaada wa chakula unakua umemfanya aweze kutumia akili yake kufanya mengine badala ya kufikiri atakula nn.

Pili lazima ujue kuwa binadamu anamahitaji mengi zaidi ya chakula. Kwahiyo ni lazima aendelee kutafuta.
Kumpunguzia mzigo wa chakula inamsaidia pia kutatua matatizo mengine. Mfano familia yenye watoto wanaosoma na ni masikini. Itawasaidia watoto wa familia hiyo kusoma bila msongo wa mawazo na njaa kwakua uhakika wa kula upo.

Namalizia kwa kumpongeza rais wa nigeria kwa kuliona hilo na ninamshauri asivunjike moyo kuwasaidia masikini

Hivi wewe unafikiri ni kwa nini hao watu ni maskini? Leo hii kijana anayeshinda stand akipiga debe kwa mfano, au mhitimu wa chuo ambaye hana cha kufanya, au familia yenye watoto wanaishi na baba na mama wana umri wa kuenda shule lakini hawaendi. Unapowapa chakula ndipo unaondoa umaskini?

Unaona kabisa wasomi na nguvu kazi iko mitaani. Badala ya kutengeneza mazingira ya kuitumia katika uzlaishaji na kuongeza pato la taifa ili utoe huduma bora za jamii, unakimbilia kugawa mikate. Huu ni mkakati wa muda mrefu?

Labda niseme ninaandikiana na mtu mwenye taaluma tofauti na haya maswala. Na wala hakuna mtu mwenye elimu ya uchumi na maendeleo anayeweza kusema kuwasaidia wahitaji ni kuwalemaza. Hiyo ni lugha ya watu wasiokuwa na ufahamu wa kitaalam juu ya haya masuala.

Ninadhani umeelewa. Kama hutaelewa, hata mimi sina uwezo wa kukupa elimu hii kwa njia ya majibizano mtandaoni. Ni taaluma kamil. Usiku mwema.
 
Unazungumzia taaluma kwenye maisha halisi ya watu? Hebu acheni hizo bhana. Kumbe nyie mnapenda mnapoona watu wanakufa njaa. Sasa wewe mwenye hiyo taaluma umeleta faida gani kwa jamii yako inayokuzunguka kama sio kutafuta ugali wa wanao ili wasife njaa. Acheni mambo yenu bhana. Kama kweli wewe Unazungumzia taaluma hebu waache wanao wajitafutie kila kitu ili uchumi wa nchi usiyumbe.
Kwa mtazamo wangu mm. Kuwapa watu chakula ni kuwapunguzia mzigo ambao umekua kikwazo kwenye mafanikio ya bara letu la Africa. Hayo mengine yatawezekana kikubwa ni kujenga utamaduni wa kutokua wavivu baada ya kushiba
 
Haya mambo ya kuwapa watu wenye taaluma, afya na uwezo wa kuzalisha hayajawahi kufanya kazi na kuleta matokeo yakinifu endelevu.

Sidhani maamuzi haya yameshirikisha wachumi au ni ile ile ya mtu kuamka na kutangaza kwa mantiki ya kujifurahisha ama kujitafutia umaarufu

Nigeria ni moja ya nchi zenye kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira duniani.

Kugawa chakula na fedha hakuondoi tatizo la ajira wala hakuondoi umaskini.

Nilitegemea serikali yenye maskini wengi kama Nigeria, wasomi wengi kama Nigeria na ukosefu wa ajira kama kule, ingeanza na kutengeneza milango ya ajira kwanza ili kuongeza uzalishaji na matumizi sahihi ya raslimali.

Hawa wasomi na vijana wenye nguvu hawaweze kupata satisfaction kwa kupewa misaada ya vyakula. Wanahitaji thamani ya nguvu na utaalam wao. Tujifunze kwa Sadam aliwafungia wasomi wasiende nje na hawakuwa na kazi za kufanya kiasi watu na taaluma zao sana sana wakaishia kuwa waendesha taxi ili wawe busy. Gadafi suala lake msiliangalie kwa mtazamo wa ugawaji wa mikate mkawashangaa kwa nini raia waliamua pamoja na kuwatupia mikate.

familai maksini hazitakombolewa kwa kupewa fedha. Huo uwe mkakati labda wa dharura wa uokoaji lakini kunastahiki mpango kamli wa kutransform maisha ya hizi familia maskini ili ziweze kujihudumia na kuondokana na dependency syndrome ambayo huishia utumwa wa kifkira na umaskini endelevu.

Buhari ana lake jambo!. Ngoja afanye, mtaona.
Duh, umechemka ile mbaya, Kama mafisadi wanaiba mabilioni ya pesa na kuyahamishia ulaya wewe ni kipi kinakushangaza Rais kutoa pesa kuwapatia maskini? ni uchumi gani uliosomea wewe? pesa hizo zitakuwa zinazunguka hapo hapo ndani ya nchi zinarudi tena serikalini Kwa mgongo wa kodi, halafu inaonekana kabisa kuwa wewe hujawahi kupata adha ya umaskini, Ungekuwa umewahi usingejaribu kupinga, huna logic yoyote ya kusema kuwa wasipewe, ulitaka wafe njaa? una fikra za ki ccm kabisa, Hakuna jambo gumu chini ya jua, kila kitu kinawezekana.
hizo pesa zingenunuliwa magari na madege ya kifahari usingepayuka hapa, kusikia maskini watakuwa wanapewa umebaha, wewe unaamni ktk mageuzi yapi? ni bora ukakate kadi ya ccm tu, upinzani haukufai.
 
Wewe hkuna unachokijua. Unachanganya misada ya kibinadamu ya uokozi wa dharura na mipango ya maendeleo!.

Kwanza wee ni mpumbavu tu unakurupuka bila hata kujaribu kunielewa. Nigeria ina matatizo makubwa ambayo haiwezi kuyamaliza kwa kugawa fedha. Nilikioanzia kuandika hujui na wala sijakataa wenye shida wasisaidiwe lakini si mpango wa maendeleo zaidi ya uokozi tu.

Kuzunguka fedha zile zile bila kuwa na mkakati wa kuongeza uzalishaji kwa kutumia nguvu kazi na ralsimali zilizopo ndiyo economic develpment?

Pumbavu kweli kwlei!.

Think bigger pumpkin!.

k
 
Haujui vizuri umaskini wa kukosa chakula uchumi wa vitabu na maisha halisi vitu viwili tofauti..big up buhari
 
Kama ulidhani kitabu ni anasa, sasa unaona mziki wa ujinga!. Low level na bado unajiropokea masuala usiyoyafahamu. Pumbavu sana na aliyekudanganya eti kitabu na maisha halisi havina uwiano ni mbweha mwenzako tu na ndiyo sabbu mkakimbilia BRN ili nchi iendeshwe kipumbavu.

Majuha kaeni kando muache wenye vichwa wajadili hoja n akupanga mipango ninyi mtekeleze. Pumbavu kweli kweli! Kwa nini usiende shule uondoa aibu ya kuw ampumbavu?

Haujui vizuri umaskini wa kukosa chakula uchumi wa vitabu na maisha halisi vitu viwili tofauti..big up buhari
 
Hivi wewe unafikiri ni kwa nini hao watu ni maskini? Leo hii kijana anayeshinda stand akipiga debe kwa mfano, au mhitimu wa chuo ambaye hana cha kufanya, au familia yenye watoto wanaishi na baba na mama wana umri wa kuenda shule lakini hawaendi. Unapowapa chakula ndipo unaondoa umaskini?

Unaona kabisa wasomi na nguvu kazi iko mitaani. Badala ya kutengeneza mazingira ya kuitumia katika uzlaishaji na kuongeza pato la taifa ili utoe huduma bora za jamii, unakimbilia kugawa mikate. Huu ni mkakati wa muda mrefu?

Labda niseme ninaandikiana na mtu mwenye taaluma tofauti na haya maswala. Na wala hakuna mtu mwenye elimu ya uchumi na maendeleo anayeweza kusema kuwasaidia wahitaji ni kuwalemaza. Hiyo ni lugha ya watu wasiokuwa na ufahamu wa kitaalam juu ya haya masuala.

Ninadhani umeelewa. Kama hutaelewa, hata mimi sina uwezo wa kukupa elimu hii kwa njia ya majibizano mtandaoni. Ni taaluma kamil. Usiku mwema.
Na zile nchi za ulaya zinazofanya program kama hizo za kuwasaidia watu ni wajinga wewe ndio unaujua uchumi sana right?
 
Ninajua ndiyo na zaidi ya hapo. Hakuna umaskini unaondolwa kwa kugawa fedha na chakula wewe.

Sana sana angelisema anagawa chakula kwa familia za wasio na uwezo wa kufanya kazi lakini si kwa kusema maskini tu. Huo ni mpango mpofu na hauendi popote!!!!!!!!!!!!
Kwa mtazamo wangu Je..? itakuwa ya kudumu? Inatakiwa iwekwe kwenye KATIBA kwamba Rais yoyote atakaekuja afanye namna hiyo bila hivyo inaweza kuwa kama LIBYA Kiongozi kung'ang'ania madarakani...kwa kisingizio cha Serikali kuwasaidia wananchi....Vinginevyo Sioni ubaya wa Serikali kusaidia Raia wake Kuhusu watu kubweteka huwezi kukwepa sababu tunatofautiana...Mfano mimi hali ya Maisha ikiwa imenibana haimaanishi nayapenda hayo Maisha Serikali kuniSupport inanisaidia Mimi kujipanga sababu sitalidhika na Msaada wa Serikali
 
Na zile nchi za ulaya zinazofanya program kama hizo za kuwasaidia watu ni wajinga wewe ndio unaujua uchumi sana right?

Ndiyo ninajua!.

Hakuna kichwa kinachoelewa kitawaza kugawa chakula na fedha kwa wasio ajira na maskini ni njia murua endelevu ya kukuza uchumi.

Kama hujui economic growth and development, nyamaza!. Hapo huongei kitu kwa sababu mnashadadia matumizi ya panadol kutuliza kichwa cha malaria badala ya matumizi ya tiba sahihi.

Kachukue upako wa mwisho tu!.
 
Back
Top Bottom