Serikali tunataka majibu juu ya uwepo wa mgodi wa siri katikati ya msitu huko Kitunda

Kwa huku matakoni mwa dunia google map wana update images baada ya miaka nane (8) kwahyo subiri baada ya miaka hiyo ndio utakuta muonekano wa mgodi kama kweli upo
😂😂😂 dah hii imeniumiza sana sema jana nilitafuta sana bila mafanikio itakua kweli
 
Mdude umeandika ujinga sana saaaaana.
Huu ni uchochezi. Hufatilii taarifa unaandika. Hata madini hujawahi chimba. Huyo aliyekwambia nae ni mwehu.
Mgodi wa dhahabu wa kitunda upo toka 2020, na ulianza kuchimbwa 2021 early, na ukisema mfumo wa serikali haifahamu au haupo unakua na maana gani? Serikali iliomba Mkuu wa mkoa wakati ule atoe familia ndani ya mgodi ule maana hata watoto walikua around. Machimbo yaachwe. Pasiwe sehemu ya makazi. Watu wakapewa maakazi mengine. Kumbuka huo ni mgodi wa dhahabu, kuzungushia fence au kuweka ulinzi ni kati ya sera zilizowekwa na magufuli ili tu kulinda rasilimali. Huo mgodi upo. Una ulinzi kama migodi mingine, na yyte anayetaka akiwa na vibali anaingia pale, hamna kificho. Haya tafuta vibali ukanunue dhahabu hapo. Na uache kuropoka fatilia taarifa. Na huyo mwenzako.
Walamba Watawala MA.TA.KO karibu kwenye kuchangia, nyie ndio wale hata watawala wakijamba mnapiga makofi
 
Serikali hii ya kiqumer tayari imeanza mambo yake ya kipumbavu ya kutafuna rasilimali za taifa
unaweza kuwasilisha hoja bila ya kutukana, hapo jua umemdhalilisha mama yako mzazi, bibi yako, binti yako, dada zako, shangazi zako, mama zako wadogo na Ke wote
 
Tunafundishwa akija mtu fasiq na habar yake basi ichunguzeni kwanza kama ina ukweli mean I yake! Kila mtu anamjua mdude kuwa ni mtu wa aina gani .Basi bila kukurupuka na kuleta taharuki na kuanza kuwapa lawama wahusika kwanza tutafute ukweli wa jambo! Mdude ni mtopokaji wa kiwango cha juu sana hachuji maneno. Kama eneo unatembea Siku tano kwa mguu Ndio unafika na hapo kuna makazi ila hakuna barabara mbona kama ngumu kumeza
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Natumai kuna jitihada zimefanyika kupata maelezo zaidi; Wahusika wamesemaje au Hawakupokea Simu...
 
Kuna taarifa za uwepo wa mgodi mkubwa wa madini katikati ya msitu huko Kitunda Tabora mpakani na Singida. Inadaiwa mgodi huo upo kwa siri na haujulikani katika mfumo wa serikali isipokuwa viongozi wachache ambao ndio waliohusika kuuza eneo hilo kwa maslahi binafsi.

Kutokana na usiri huo hakuna barabara yoyote inayoenda katika mgodi huo isipokuwa kuna uwanja wa ndege wa siri ambao hutumika kwa ndege kubeba madini pamoja na kuleta mahitaji katika eneo. Ukitembea kwa mguu kuelekea katika mgodi huo itakuchukua siku 3 mpaka tano kufika. Mgodi huo una ulinzi mkali ikiwemo kuzungushiwa face yenye ulinzi na CCTV camera.

Sasa nchi yetu ina jeshi la JWTZ ambalo moja ya majukumu yake ni kulinda mipaka ya nchi, sasa nauliza jeshi letu lilishindwa kubaini wageni waliovuka mpaka na kuanzisha mgodi mkubwa katikati ya nchi yetu na kuchimba madini na kuyatorosha? Vipi kuhusu vyombo vingine vya dola navyo havijui mchongo huu wa wakubwa? Sitaki kuzungumzia Usalama wa Taifa TISS kwa sababu TISS ya sasa haina tofauti na Green Guard ya UVCCM na imekosa sifa ya kuitwa chombo cha dola kama ilivyokuwa wakati wa mkapa mpaka wakati wa Nyerere.

Haya mambo ya migodi ya siri tulikuwa tunayasikia huko Congo ambako nchi yao ina tatizo la usalama sasa leo na sisi tuna tatizo hilo? Au Rushwa na tamaa za viongozi ndio vimepelekea jambo hili? Hapana , hapana lazima tuchukue hatua. Tumechoka kuendelea kuona rasilimali za taifa hili zinawanufaisha wageni kutoka nje ya nchi na wazawa wakibaki maskini huku maji, madawa, shule na chakula vikiwa adimu katika maeneo hayo.

Hivyo sisi kama Watanganyika na Watanzania tunahitaji serikali itoke hadharani ituambie kuhusu huo mgodi kabla hatujachukua hatua ambazo tunaamini tutalinda rasilimali za taifa letu kwa maslahi ya wananchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2923947
Duh usikute haya ya M23 yameingia tz. Wageni wamo msituni wanavuna madini nchini kwa nguvu. Ngoja tuona mamlaka wakienda kuwastopisha kama mwisho sio vita. Hizi habari zichukuliwe na mamlaka uchunguzi ufanyike haraka. Ingekua enzi ya magu hakika tungepata jibu na pengine hakuna wahuni wangejaribu huu upuuzi.
 
Kuna taarifa za uwepo wa mgodi mkubwa wa madini katikati ya msitu huko Kitunda Tabora mpakani na Singida. Inadaiwa mgodi huo upo kwa siri na haujulikani katika mfumo wa serikali isipokuwa viongozi wachache ambao ndio waliohusika kuuza eneo hilo kwa maslahi binafsi.

Kutokana na usiri huo hakuna barabara yoyote inayoenda katika mgodi huo isipokuwa kuna uwanja wa ndege wa siri ambao hutumika kwa ndege kubeba madini pamoja na kuleta mahitaji katika eneo. Ukitembea kwa mguu kuelekea katika mgodi huo itakuchukua siku 3 mpaka tano kufika. Mgodi huo una ulinzi mkali ikiwemo kuzungushiwa face yenye ulinzi na CCTV camera.

Sasa nchi yetu ina jeshi la JWTZ ambalo moja ya majukumu yake ni kulinda mipaka ya nchi, sasa nauliza jeshi letu lilishindwa kubaini wageni waliovuka mpaka na kuanzisha mgodi mkubwa katikati ya nchi yetu na kuchimba madini na kuyatorosha? Vipi kuhusu vyombo vingine vya dola navyo havijui mchongo huu wa wakubwa? Sitaki kuzungumzia Usalama wa Taifa TISS kwa sababu TISS ya sasa haina tofauti na Green Guard ya UVCCM na imekosa sifa ya kuitwa chombo cha dola kama ilivyokuwa wakati wa mkapa mpaka wakati wa Nyerere.

Haya mambo ya migodi ya siri tulikuwa tunayasikia huko Congo ambako nchi yao ina tatizo la usalama sasa leo na sisi tuna tatizo hilo? Au Rushwa na tamaa za viongozi ndio vimepelekea jambo hili? Hapana , hapana lazima tuchukue hatua. Tumechoka kuendelea kuona rasilimali za taifa hili zinawanufaisha wageni kutoka nje ya nchi na wazawa wakibaki maskini huku maji, madawa, shule na chakula vikiwa adimu katika maeneo hayo.

Hivyo sisi kama Watanganyika na Watanzania tunahitaji serikali itoke hadharani ituambie kuhusu huo mgodi kabla hatujachukua hatua ambazo tunaamini tutalinda rasilimali za taifa letu kwa maslahi ya wananchi.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2923947
hi ndo JF serikali yote ipo humu na ujumbe wameupata, Na tulio soma cuba tunajua siku chache baadae tutasikia kupotea kwa watu
 
Walamba Watawala MA.TA.KO karibu kwenye kuchangia, nyie ndio wale hata watawala wakijamba mnapiga makofi
Acha tulambe matako wajinga wenzako hao unaowasema. Mimi nimeongea ukweli kama raia. Baada turise vitu vya maana tulivyofanyia research tunarise upuuzi usiokuwepo, tunajikosea wenyewe ndio maana tunapelekeshwa. Hao viongozi wenu wote ni zao la mkoloni wanajua jinsi ya kutuhaaribu. Alafu kuna wapuuzi kama ww na hili dude kila mtu akitoa maoni, eti annalamba matako. Unagongwa sex na manyani ww. Uncircumcised baboon
 
Haya yanatokea Kwa sababu wananchi wamekosa Imani na serikali yao hasa linapokuja suala la rasilimali za nchi wakiwa na kumbukumbu ya bandari mambo yalivyopekwa Kwa nguvu bila ridha ya wananchi
 
Back
Top Bottom