serikali saidia waliokosa ajira hawa

Wakwetu03

Senior Member
Sep 15, 2010
190
81
kuna vijana wengi wenye elimu mbalimbali ambao wapo mtaani bila kuwa na ajira yoyote,naomba serikali iwape vijana hawa kazi kwenye sensa ya taifa badala ya waalimu ambao tayari wana ajira zao.NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom