Serikali na kajasho kembamba kwa jimbo moja, itakuwaje 2015 kila mtu na lwake?

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Mwenye macho haambiwi tazama,serikali inatumia nguvu ya hali na mali pale A.MASHARIKI,sasa kama lile shazi la wabunge wa CCM na mawaziri wangekuwa wanagombea ingekuwaje.Je,mwaka 2015 kama itakuwa hivi kwa nguvu ya CDM,CCM watapona.YETU MACHO NA MASIKIO.TUSUBIRI
 
Ila naona kama vyama hivi viwili vyote vinatumia nguvu. Huwenda hata CDMA nao wakapata shida sana 2015 kwa sababu hata wao chama kizima kimehamia Arumeru. Tunawatakia vyama vyote kampeni safi, zisizo na kashfa, matusi kejeli ili siku ya mwisho wana-ARumeru wampate mteule wao makini.
 
Mwenye macho haambiwi tazama,serikali inatumia nguvu ya hali na mali pale A.MASHARIKI,sasa kama lile shazi la wabunge wa CCM na mawaziri wangekuwa wanagombea ingekuwaje.Je,mwaka 2015 kama itakuwa hivi kwa nguvu ya CDM,CCM watapona.YETU MACHO NA MASIKIO.TUSUBIRI

Mkuu Arumeru kuna mchuano wa Vyama vya CCM na CHADEMA. huko hakuna SERIKALI
 
Je ulisikia kauli ya Mary Nagu kuhusu EPZ? je aliuwa anaongea kama individual ua serikali? acha utani bana serikali imehamia A.mashariki
Mkuu Arumeru kuna mchuano wa Vyama vya CCM na CHADEMA. huko hakuna SERIKALI
 
Hili ni tatizo la serikali kuboronga, na sasa wanategemea zaidi propaganda. Ndiyo maana wanatumia nguvu zote hizo!
 
Mkuu Arumeru kuna mchuano wa Vyama vya CCM na CHADEMA. huko hakuna SERIKALI

Kwa akili ya kawaida, Mawaziri kwenda kwenye compaign ukizingatia kuwa wana majukumu ya Kitaifa, ni dhahiri kuwa Serikali imeamia Arumeru.Hebu angalia tu, CDM wakimtumia Dr. Slaa na wabunge wengine si viongozi wa Kiserikali balia wa kisiasa.Ni kweli CCM na Serikali yake imeamia Arumeru ikionekana dhahiri wanatumia raslimali za Taifa isivyo ila kutekela Political defeat against CDM.
 
Mwenye macho haambiwi tazama,serikali inatumia nguvu ya hali na mali pale A.MASHARIKI,sasa kama lile shazi la wabunge wa CCM na mawaziri wangekuwa wanagombea ingekuwaje.Je,mwaka 2015 kama itakuwa hivi kwa nguvu ya CDM,CCM watapona.YETU MACHO NA MASIKIO.TUSUBIRI

huu mchezo ni mtamu sana kwani 2015 itakua tule tumbakishie baba,hawa magamba wote watakimbia nchi kwani hawatakua na kuongea wote washa haribu hakuna msafi hata mmoja wote wachafu
 
Kampeni za Arumeru zinanikumbusha zile za Temeke Kati ya Mrema na Cisco. Pamoja na vijembe hadi kupelekea kusema Wachaga Wanalala na Ngombe ndani Augustino Mrema alishinda. Natumaini hata Arumeru huenda Upinzani ukashinda.
 
:lock1:kila mtu anafahamu kuwa ccm mwisho wake ni 2015, hilo liko wazi, wapo wachache ambao hawataki kuamini, japo ukweli wanaufahamu......:flock:
 
Back
Top Bottom