jaman nayo serikali yetu kwa nin isinge kaa nao chini kisha wamalize tofauti zao kuliko kubeba mzigo mwingine na hizo fedha sizingepunguza makali ya mgomo
Nadhani tatizo linaahirishwa kwa muda kwani najiuliza watakuwepo hapa nchini hadi lini? yAWEZEKANA KABISA KWA MAZOEA IKAWA NI SULUHISHO LA MUDA MFUPI TU. NAMUOMBA MUNGU NA KUSHUKURU KAMA KIKAO CHAO KILIKUJA NA LONG TERM SOLUTION AMBAYO BADO SIJAISIKIA.
serekali kweli inaongozwa na wendawazimu, hizo bil 20 kiasi gani kinahitajika kuwalipa madokta nyongeza yao ? si nasikia ni malipo ya mwaka mzima,kwanini wanachezea hela za walipa kodi badala ya kuboresha mazingira katika hospitali zetu kwa fedha hizo, ee mola tuokoe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.