Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 396
- 660
Kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, serikali ingepunguza umri wa kustaafu hasa walioajiriwa serikalini.
Kulingana na hali ya sasa umri wa kuishi nao umepungua hakuna haja ya mtu kufanya kazi hadi afikishe miaka 60.
Ingependeza wafanyakazi serikalini kada zote labda itegemee na unyeti wa kada hiyo basi watu waajiriwe kuitumikia serikali kwa miaka 20 TU badaa ya hapo ni kuustafu. Mtu anapewa chake anasonga mbele na maisha yake huku akiwa bado na nguvu na ameitumikia serikali akiwa na nguvu. Ili wengine nao wapate hiyo ajira.
Hii ingeongeza utendaji kazi serikalini kwani mtumishi anajuwa hana muda mrefu sana wa kiutumishi.
Hii ingeondoa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira nchini. Kada kama za afya, elimu nk, amabazo zina watumishi wengi pia zingetowa nafasi za ajira.