SERIKALI inunue MAGARI VX V8 BRAND NEW kutoka Japan, kwa $80,000 & below

Watanzania tunaibiwa kama watoto. Kwani magari ni lazima yawe VX? The best quality ni america quality ya hayo Magari ya Japan. Mimi wanipe $65,000 nitawaletea Lexus SUV kutoka Marekani.

Naomba e-mail yako ndugu yangu nataka niagize kama matano hivi.
 
sasa mbona cha juu kinazidi 10%. $200,000 above 80,000$ ni 10% kweli? Afadhali basi wangeweka cha juu 10% then wangenunua kwa $ 88,000 ingekuwa poa kidogo. Tungevumiliana

Is so shame, nakwambia, $200,000 watakwambia 10%, this is annoying, since election is over huwa na kaa na mtu 1 meter apart tukiongelea serikali or CCM, maana uanweza kusikia puuuuuhhhhh, kwisha, maana sichelewi, sijui lini this angry energitic heart itaondoka, kila kitu nasikia kibaya tu, mara Dowans, mara Vx V8 $280,000, mara kamari ya Chenge+ mafisadi aliyomchezea Sitta in speaker post, mara Shubash Patel apewa machimbo ya chuma, mara JK kapewa PhD yaani chuo kipya hata masters haijatoa tayari wanatoa PhD, mara HR anaiponda CDM, zuri moja tu magufuli kamfukuza mrema period, na mm sijampiga mtu ngumi bado, CHADEMA let's go, gooooo,goooooo ni kampeni tu everyday
 
he hee,mkuu punguza jazba,ila hii mijamaa CCM ni mijizi sijapata kuona yaani yanaiba yanaficha mifukoni kisha yanajiibia yenyewe tena toka humo mifukoni mwao.ipo siku tu.
 
Chomachoma hizi hapa ni Lexus. Lexus ni Brand ya Toyota na ni bei ya juu kuliko Toyota. Vilevile the most quality magari ni haya ya hapa marekani kwasababu ya hali ya hewa na standards. Ni sio lazima unitumia pesa wasiliana na hawa jamaa watakuwa na VX kwa bei nafuu zaidi. link hiyo hapo mzee 2011 Model Lexus!!

Lexus All Models#
 
Chomachoma Landcruiser ya 2011 hii hapa mpya hata $68,000 haijafika! hii imetoka kwenye website ya Toyota!! Bado nini tena mzee!! link hiyo tuma pesa na shipping . Tax kwasababu wana export ni kama 0!

2011 Toyota Land Cruiser
 
thanks, 10% X 80,000 = 8,000
so 80,000 - 8,000 = $ 72,000 hapa plus transportation, imefika Dar, Mungu tusaidie.
 
Mr President unafikiri hawajui? wanajua sana tu, ila watakula wapi? ndio kazi yao hiyo kula fedha za walipa kodi, wananchi sasa utasikia gari moja mil 350, si muda mrefu subiri, ndio maana mm na hasira kila siku, usiku, mchana, asubuhi, jioni, ni hasira tu, wanakula basi. Vx V8 hata kwa $65, 000 inapatikana nyingi tu.
 
Back
Top Bottom