anafahamika ni sheikh ilunga, au kumfaham ki vp?
anafahamika ni sheikh ilunga, au kumfaham ki vp?
serikali ndio iliyomtuma mkuu,,.....
Ni ajabu kuwa katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mambo mengi yanayoashiria uchochezi lakini serikali imeihsia kutoa matamko ya kuwataka watu wanaofanya hivyo waache. Utadhani kuwa hatuna sheria zinazokataza mambo hayo. Kwa nini serikali inashindwa kuwachukulkia watu kama hawa na taasisi hatua kali kwani wanavunja sheria za nchi?
Ni malalamiko na kulialia tu mwanzo mwisho. Kweli elimu ni muhimu watanzania wenzangu, tuwekeze zaidi katika elimu ili basi kama sisi tumechelewa basi watoto wetu wasikose tulichokosa sisi. Huyo ----- hana jipya ni malalamiko ambayo yamezoeleka lakini yote msingi wake ni uduni wa elimu ya mhusika pamoja na wafuasi wake.
Mkuu tafuta kazi ya kufanya, ama kama hujui unacho sema uliza kwanza uwambiwe sio una kurupuka. kwafaida yako na wengine ( kama wewe ) Huyo ni mwana harakati a.k.a mpiga mfumo nyanyasaji ( mfumo kristo ) kaw waislamu. Kaziyake sio kuchochea/ kuchonganisha kama unavyo taka watu waamini, kama kazi yake ingekua ni hiyo ( kuchonganisha ) sasa hivi unge muona mahakamani, Ukitaka kumjua mchonganishi ktk Taifa hili tafuta kitabu cha Jan P.van Bergen, Development and Religion, utapata kumjua mchonganishi wa Taifahili