Serikali inamfahamu huyu mchonganishi?

Ni malalamiko na kulialia tu mwanzo mwisho. Kweli elimu ni muhimu watanzania wenzangu, tuwekeze zaidi katika elimu ili basi kama sisi tumechelewa basi watoto wetu wasikose tulichokosa sisi. Huyo ----- hana jipya ni malalamiko ambayo yamezoeleka lakini yote msingi wake ni uduni wa elimu ya mhusika pamoja na wafuasi wake.

Last edited by a moderator:
Ni ajabu kuwa katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mambo mengi yanayoashiria uchochezi lakini serikali imeihsia kutoa matamko ya kuwataka watu wanaofanya hivyo waache. Utadhani kuwa hatuna sheria zinazokataza mambo hayo. Kwa nini serikali inashindwa kuwachukulkia watu kama hawa na taasisi hatua kali kwani wanavunja sheria za nchi?
 
Ni kama padri alipoilalamikia serikali ooo kusiwe na mahkama ya kadhi wala waislamu wasipate haki ya kujiunga na oic cuz u...o utakufa
 
Huyu kwanini mpaka sasa yupo nje hajaungana na ponda na wale wanauamsho kweli mahakamani.
 
anafahamika ni sheikh ilunga, au kumfaham ki vp?

most of these are psychiatric patients. Take note of my words! Angekuja mtu wa psychiatry mnh angetuthibitishia ni clients wazuri tu wa pale. Lakini hawa jamaa zetu ndo wanaowaamini na ndo wanaowashawishi wafanye fujo.
 
Kanifurahisha sana alipoifananisha Zanzibar na MBWA...

Hivi Nyerere alidanganywa na nani kutuunganisha na hawa watu Ustaadh anaowaita MBWA???
 
anafahamika ni sheikh ilunga, au kumfaham ki vp?

Kwa uchonganishi anaoufanya.Anawachonganisha watu wa bara na wa visiwani kwa kuwaambia wazanzibari kuwa wizara ya ulinzi ipo kwenye mambo ya muungano ili wanajeshi wa bara waletwe zanzibar kulinda mfumo kristo na si kuwalinda wazanzibari.Hataki hata kusikia kuwa watu kutoka musoma wanakwenda kule wakiwa wanajeshi
 
Namshukuru Mungu kwa kunifanya niwe na uwezo mzuri wa kufikiri na kuzaliwa bara, vinginevyo ningeweza kuzaliwa upande wa pili alafu nikawa ni mmoja wa watu wanaingizwa chaka na vilaza aina hii
 
serikali ndio iliyomtuma mkuu,,.....

While saying "Inshaallah at least do not sit down waiting for Inshaallah, try doing something and of course trying doing so that is the really Inshaallah. Masikini unalalamika mpaka wanao wanaanza kulia wakidhani baba yao unalia.
 
Ni ajabu kuwa katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mambo mengi yanayoashiria uchochezi lakini serikali imeihsia kutoa matamko ya kuwataka watu wanaofanya hivyo waache. Utadhani kuwa hatuna sheria zinazokataza mambo hayo. Kwa nini serikali inashindwa kuwachukulkia watu kama hawa na taasisi hatua kali kwani wanavunja sheria za nchi?

mkuu usiangalie ulipoangukia ebu tafuta wapi umejikwaa? Amani haiwezi kudumu sehemu palipo nadhuruma. Ebu tukemee dhuruma tuone kama hali hii itakuwepo. utulivu huu uliopo tuuenzi kwa kusikilzana na kutendeana haki
 
Ni malalamiko na kulialia tu mwanzo mwisho. Kweli elimu ni muhimu watanzania wenzangu, tuwekeze zaidi katika elimu ili basi kama sisi tumechelewa basi watoto wetu wasikose tulichokosa sisi. Huyo ----- hana jipya ni malalamiko ambayo yamezoeleka lakini yote msingi wake ni uduni wa elimu ya mhusika pamoja na wafuasi wake.

we msmi kama una hoja siujibu hayo aliyozungumza, ebu yakanushe kwa hoja na darili kama alivyofanya. mbona nyie mnakuwa wa ajabu kwa kutokuwa tayari kusikiliz hoa zinazotlewa na wengine? hyo ndiyo lvel yen ya usomi?
 
Mkuu tafuta kazi ya kufanya, ama kama hujui unacho sema uliza kwanza uwambiwe sio una kurupuka. kwafaida yako na wengine ( kama wewe ) Huyo ni mwana harakati a.k.a mpiga mfumo nyanyasaji ( mfumo kristo ) kaw waislamu. Kaziyake sio kuchochea/ kuchonganisha kama unavyo taka watu waamini, kama kazi yake ingekua ni hiyo ( kuchonganisha ) sasa hivi unge muona mahakamani, Ukitaka kumjua mchonganishi ktk Taifa hili tafuta kitabu cha Jan P.van Bergen, Development and Religion, utapata kumjua mchonganishi wa Taifahili
 
kwa kuwa wewe ndo wale wale anaowadanganya huwezi ukaona kama ni mchochezi.Karibu kila neno litokalo mdomoni mwa huyu jamaa yako ni uchonganishi mtupu

Anasema kama si muungano zanzibar ingekuwa kama Dubai
anasema wanajeshi waliopo zanzibar kutoka bara hawako kwa maslahi ya wazanzibar ila kwa maslahi ya wabara
anasema miaka ya 1992 watoto wa zanzibar wote walikuwa na hela siku hizi hakuna kwa sababu ya wabara
je huu si uchonganishi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom