Serikali ikubali kuwajibika kwa hili.

Mwadada

Senior Member
Feb 11, 2011
142
17
Inasikitisha sana kwa serikali yetu kushindwa kutoa pesa za kuteketeza mabomu yaliyo kwisha muda wake.kama ilivyo elezwa na Dr Slaa ktk mkutano wa chadema uliyofanyika leo huko musoma mara.'kwamba wanataarifa kuhusu serikali kuandikiwa barua kuomba pesa za kuteketeza mabomu lakini serikali ikajibu haina pesa' itakuwa vema waziri husika akiwajibika kwa tukio la gongo la mboto,ili kujenga utamaduni wa kuwajibika ktk taifa letu.chanzo, taarifa ya habari ITV Saa mbili husiku leo.
 
Back
Top Bottom