Serikali ijiandae na mlipuko wa vijana wengi ku-commit suicide baada ya ushindi mkubwa wa CCM 2015

Status
Not open for further replies.

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni

Nimefuatilia mkutano wa CCM Morogoro leo na nikalinganisha na uchaguzi wa madiwani mwisho mwa mwaka jana na nikapatwa na hofu kubwa sana kuwa kama tusipoanza kuwaeleimisha vijana wenzetu wanaorubuniwa na Chadema sasa basi ifikapo mwaka 2015 baada ya ushindi mkubwa wa CCM kutatokea mlipuko mkubwa wa vijana wengi kujinyonga na kujirusha kutoka ghorofa ya kwanza.

Ni jukumu la serikali kujiandaa na majanga makubwa kama mafuriko, matetemeko, kipindu pindu nk. Hivyo basi kwa hili serikali inabidi ijiandae zaidi ya hapo kwani vijana wengi wameisha kuwa brainwashed wameacha maisha yao na kazi zao zinazowapatia mkate wa kila siku matokeo yake wanasubiri 2015 wapewe ukuu wa wilaya nk. Wengine wametoa hadi savings zao wakiamini kuwa ikifika 2015 wataula.

Ninaomba serikali yetu tukufu iliangalie kwa karibu suala hili kwani vijana wengi watakuwa wamekata tamaa kabisa ya kuishi na inaweza kusababisha tukapoteza nguvu nyingi sana ya taifa letu kuliko hata tulivyowahi kupoteza kwenye magonjwa ya milipuko.
Serikali ianzishe huduma kama hii hapa chini
usethisone.jpg

JITAMBUE
 
We kichaa leo utazunguka sana na vi thread vyako uchwaza, aibu mlio ipata leo nyinyiem ni pigo kubea sana
 
Mkuu Chris, mimi nilifikiri unao uwezo wa kuendesha maisha yako hata bila kujipendekeza kiasi hiki. Kukaa kwako majuu kumekusaidia nini?
 
Wewe ndiye hujitambui na una matatizo mabaya ya kisaikolojia.

Unahitaji medical attention tu.
 
wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kupost mada za kitoto humu.
 
Wewe ndiye hujitambui na una matatizo mabaya ya kisaikolojia.

Unahitaji medical attention tu.
Ben ,
Ni jukumu letu tulio na maono kuwaelimisha vijana mliopotea kama wewe.
Lets be honest, kwa nini mtu akubebeshe sumu uwe unatembea nayo mfukoni ? si umwambie aibebe mwenyewe!
Nadhani umefuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Kenya na umeona yaliyotokea.
Wewe najua umekwenda shule kidogo, hivyo nina uhakika ukijikita kwenye fani yako lazima utapata ajira, usikubali kudanganywa na watu amabao wenyewe wameisha jidanganya kuwa watachukua nchi wakati ukweli wanaujua
 
Mkuu Chris Lukosi, kwa muktadha wa thread yako inaonyesha kuwa mkutano huo Morogorro umetoa picha halisi kuwa vijana wengi ni wana Chadema, na kuwa wanaamini katika chama hicho (kama ni kweli ama lah -that is another issue).

Kwa vigezo hivyo vya kuwa ni dhahiri kuwa vijana wengi wamekuwa 'Brainwashed' kama madai yako; Nitakuwa nimekosea kudhania kuwa umemaanisha mkutano wa leo CCM hapo Morogoro ulikuwa hauna mafanikio na viongozi husika wameshindwa kuwaelimisha vijana kuwa hayo waliyo nayo (Kichwani na mioyoni mwao) yatawaharibia maisha?

Maana hadi kabla ya hii thread niliona kama in a way the meeting was kind of successful kwa CCM... Naona nikushukuru kwa kuniweka sawa.
 
ben ,
ni jukumu letu tulio na maono kuwaelimisha vijana mliopotea kama wewe.
Lets be honest, kwa nini mtu akubebeshe sumu uwe unatembea nayo mfukoni ? Si umwambie aibebe mwenyewe!
Nadhani umefuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa kenya na umeona yaliyotokea.
Wewe najua umekwenda shule kidogo, hivyo nina uhakika ukijikita kwenye fani yako lazima utapata ajira, usikubali kudanganywa na watu amabao wenyewe wameisha jidanganya kuwa watachukua nchi wakati ukweli wanaujua

wewe unayeishi na benefits za ccm ndiyo utajinyonga
 
Mkuu Chris Lukosi, kwa muktadha wa thread yako inaonyesha kuwa mkutano huo Morogorro umetoa picha halisi kuwa vijana wengi ni wana Chadema, na kuwa wanaamini katika chama hicho (kama ni kweli ama lah -that is another issue).

Kwa vigezo hivyo vya kuwa ni dhahiri kuwa vijana wengi wamekuwa 'Brainwashed' kama madai yako; Nitakuwa nimekosea kudhania kuwa umemaanisha mkutano wa leo CCM hapo Morogoro ulikuwa hauna mafanikio na viongozi husika wameshindwa kuwaelimisha vijana kuwa hayo waliyo nayo (Kichwani na mioyoni mwao) yatawaharibia maisha?

Maana hadi kabla ya hii thread niliona kama in a way the meeting was kind of successful kwa CCM... Naona nikushukuru kwa kuniweka sawa.
Dada yangu umeelewa kinyume kabisa.
Mkutano wa leo unatakiwa uwe somo kwa vijana wengi hasa waliomo humu JF kuwa CCM itashinda kwa kishindo kama ilivyokuwa 2010. Ni jukumu letu wote kuwaelimisha vijana wasikubali kutumika kama misukule kwani huko wanakofikiria watafika 2015 kutakuwa vinginevyo tofauti na walivyotegemea. Ni sawa tu na mtu kwenda dukani ukiamini una hela mfukoni wakati huna
 
Ndugu zanguni

Nimefuatilia mkutano wa CCM Morogoro leo na nikalinganisha na uchaguzi wa madiwani mwisho mwa mwaka jana na nikapatwa na hofu kubwa sana kuwa kama tusipoanza kuwaeleimisha vijana wenzetu wanaorubuniwa na Chadema sasa basi ifikapo mwaka 2015 baada ya ushindi mkubwa wa CCM kutatokea mlipuko mkubwa wa vijana wengi kujinyonga na kujirusha kutoka ghorofa ya kwanza.

Ni jukumu la serikali kujiandaa na majanga makubwa kama mafuriko, matetemeko, kipindu pindu nk. Hivyo basi kwa hili serikali inabidi ijiandae zaidi ya hapo kwani vijana wengi wameisha kuwa brainwashed wameacha maisha yao na kazi zao zinazowapatia mkate wa kila siku matokeo yake wanasubiri 2015 wapewe ukuu wa wilaya nk. Wengine wametoa hadi savings zao wakiamini kuwa ikifika 2015 wataula.

Ninaomba serikali yetu tukufu iliangalie kwa karibu suala hili kwani vijana wengi watakuwa wamekata tamaa kabisa ya kuishi na inaweza kusababisha tukapoteza nguvu nyingi sana ya taifa letu kuliko hata tulivyowahi kupoteza kwenye magonjwa ya milipuko.
Serikali ianzishe huduma kama hii hapa chini
usethisone.jpg

JITAMBUE

Lukosi unaweza kuidanganya family yako na kamwe huwez kuwasemea watz kwa akili zako zilizochacha mithiri ya maziwa mabovu,sema ulikuwa unaangaria fiesta na sio mkutano tulichokishuhudia ni tamasha ila we kwa sababu unatumika kinyume cha maumbile huwez kutambua lazña ufanye kazi ulzopewa kufanya kama rais wenu ni mwongo je nyie mtakwepea wapi?jitambue dada lukos sasa si mda wa kufanya maigizo.
 
Ben ,
Ni jukumu letu tulio na maono kuwaelimisha vijana mliopotea kama wewe.
Lets be honest, kwa nini mtu akubebeshe sumu uwe unatembea nayo mfukoni ? si umwambie aibebe mwenyewe!
Nadhani umefuatilia kwa ukaribu uchaguzi wa Kenya na umeona yaliyotokea.
Wewe najua umekwenda shule kidogo, hivyo nina uhakika ukijikita kwenye fani yako lazima utapata ajira, usikubali kudanganywa na watu amabao wenyewe wameisha jidanganya kuwa watachukua nchi wakati ukweli wanaujua

Hivi wewe unaweza hata kumshauri mwanao....you are too shallow and imprudent...you just write trivial issues down publicly without feeling shy and timid!
Jaribu kuona aibu kama huwezi kujiheshimu....usioneshe ujinga wako hapa na kuwapoteza vijana walioko CCM waichukue CCM kwa sababu na watu wenye mawazo kama yako wamo!
 
Dada yangu umeelewa kinyume kabisa.
Mkutano wa leo unatakiwa uwe somo kwa vijana wengi hasa waliomo humu JF kuwa CCM itashinda kwa kishindo kama ilivyokuwa 2010. Ni jukumu letu wote kuwaelimisha vijana wasikubali kutumika kama misukule kwani huko wanakofikiria watafika 2015 kutakuwa vinginevyo tofauti na walivyotegemea. Ni sawa tu na mtu kwenda dukani ukiamini una hela mfukoni wakati huna

chris, narudia tena kukupa ushauri.. kila unachoandika huku mimi huwa nakufuatilia kwa karibu sana. huwa nasumbuliwa sana na uwezo wako dhaifu wa kujenga hoja zako. nakuomba uwe unakaa tu kimya.. kuwa msomaji tu. Processor yako ni ndogo sana.. yani unatia huruma aisee.
 
Ni jukumu la serikali kujiandaa na majanga makubwa kama mafuriko, matetemeko, kipindu pindu nk. Hivyo basi kwa hili serikali inabidi ijiandae zaidi ya hapo kwani vijana wengi wameisha kuwa brainwashed wameacha maisha yao na kazi zao zinazowapatia mkate wa kila siku matokeo yake wanasubiri 2015 wapewe ukuu wa wilaya nk.

Ujumbe mzito! Kwamba baada ya kujihakikishia vijana wameshakuwa 'brainwashed', watu wajajiua kwa 'kujirusha toka ghorofa ya kwaza!

In other words Chris, unatoa tahadhari kuwa 'kucha na meno' si dili tena, sasa hivi ni 'kurusha toka ghorofa ya kwanza?

You've been warned!
 
Lazima useme hivyo maana mpo likizo kufikiri katika kila idara na ni wazi kuwa mawazo mgando kama haya katika likizo hiyo hayawezi kukosekana. Nakutakia mafanikio mema ya kufikiri ndani ya uzio wenye giza totolo wa CCM.
 
mkuu chris lukosi, kwa muktadha wa thread yako inaonyesha kuwa mkutano huo morogorro umetoa picha halisi kuwa vijana wengi ni wana chadema, na kuwa wanaamini katika chama hicho (kama ni kweli ama lah -that is another issue).

Kwa vigezo hivyo vya kuwa ni dhahiri kuwa vijana wengi wamekuwa 'brainwashed' kama madai yako; nitakuwa nimekosea kudhania kuwa umemaanisha mkutano wa leo ccm hapo morogoro ulikuwa hauna mafanikio na viongozi husika wameshindwa kuwaelimisha vijana kuwa hayo waliyo nayo (kichwani na mioyoni mwao) yatawaharibia maisha?

Maana hadi kabla ya hii thread niliona kama in a way the meeting was kind of successful kwa ccm... Naona nikushukuru kwa kuniweka sawa.

unapoteza nguvu zako bure dada yangu, mwenzenu yuko kazini analipwa kwa huo uharo wake. Nakuhakikishia asilimia mia moja, huyo hajui hata alichokiposti hapo.
Halafu mimi namshangaa sana, amefukuzwa chadema ameenda ccm, badala atoe hoja za kujenga chama chake anashupalia hata yasiyomhusu.
 
Wapumbavu waliozuka hapa jamvini siku za karibuni kuanzisha threads za kizushi wanaliharibu hili jamvi kiasi cha kuanza kuonekana ni kijiwe cha uzushi tu. Inabidi waanzisha uzushi wote wafungiwe kwa maisha ili kukomesha hali hii vinginevyo jamvi litapoteza kabisa umaarufu wake.

Angalia chini hapa mzushi mwingine alianzisha uzushi usio na kichwa wala miguu:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...urudi-ccm-kwenye-mkutano-wa-ccm-morogoro.html

wakati mwingine ni bora kukaa kimya kuliko kupost mada za kitoto humu.
 
AshaDii, Ben Saanane, wakati fulani Chris Lukosi amepata kuandika haya

'Nimefanikiwa kuhamasisha watu wengi na baada ya miezi michache
niliamua
kwenda nyumbani kuona hali ilivyo. Niliyoyakuta ilikuwa tofauti na
niliyokuwa nikiyasikia na kusoma.

NIMEKUTA BARABARA NZURI SIJAWAHI KUONA TOKA NIZALIWE NA ZINAENDELA
KUJENGWA!

SHULE ZA SEKONDARI KILA KATA NA VYUO VIKUU VYA KUJICHAGULIA.
MAISHA YA WATANZANIA YAMEBADILIKA SANA - MIDDLE CLASS NI MAISHA YA
KAWAIDA
TU. VIJANA WENGI WAMEENDELEA TOFAUTI NA ZAMANI MPAKA UWE MCHAWI KIDOGO
NDIO
UWE TAJIRI. MIJI INAJENGEKA KWA KASI YA AJABU. UKIHARIBU KAZINI
UTAWAJIBIKA

.
Na mengine mengi tu niliyaona mpaka nikaanza kujiuliza , hivi najiita
mpinzani, NINAPINGA NINI?

Kama ni maendeleo nayaona tena maendelo original Nikakumbuka msemo
mmoja...
"KWA NINI UHANGAIKE NA FOTOKOPI WAKATI ORIGINAL IPOO?"
Kwangu mimi CCM ni original na Chadema ni photocopy, tena copy
iliyotolewa
wakati mashine imekwisha wino . Mabadiliko ya kweli yatatokea ndani ya
CCM
na si kwingineko!

Kisha mdau mmoja akamjibu hivi,'I can easily imagine what might have caused Chris Lukosi's change of mind. A single telephone call from Lumumba street or from the Tanzanian embassy in London of the nature " You either come on board (ccm) or your Serengeti Freight Forwarders Ltd will meet hostile conditions". It is called blackmail.

1. Sasa haishangazi kuona analysis hii inatoka kwa ndugu huyu. Hata mtizamo wake kwa maswala mazima ya maendeleo ni wakutia shaka. Kweli unawezaje kuridhishwa na hali ya sasa ilivyo? Barabara zilizojengwa zinaendana na rasilimali zetu kweli? Tunaweza vipi kuisifi Dar express kwa kutoka Dar hadi Chalinze kwa masaa kumi na mbili kama ingeweza kuwa Namanga majira hayo?

2. Mtu aliyefungwa kifikra, na kuishi kwa kudra za watu flani, wanawajibika kuwatetea sana wau hao maana ndio kula yao. Nami sina shaka na watu hao, maana dhamira zao ni wazi kabisa

3. Tatizo watu hawa ni wabinafsi mno. Mtu umekaa nje na biashara zako, kweli unawashawishi vijama waridhike na hali ya sasa ya Tanzania? Yaani maendeleo uliyoyaona huko nje na ukaja hapa sasa umeridhika kwamba vijana wa hapa waendelee kuwa kama walivyo!
 
Last edited by a moderator:
ndugu yangu chris nakushangaa sana na ungekuja na ushaur kwa serikali kuhusu kuporomoka kwa elimu ningekuona una akili.
Ungekuja na ushauri kuhusu uchumi wetu kuzidi kuwa tegemezi kwa hali ya juu.
Ungekuja na ushauri ni jinsi gani tatizo la ajira litapata ufumbuzi.
MAMBO YA CHADEMA WEWE HAYAKUHUSU NA USHAURI WAKO HAUJALENGA KUELIMISHA UMELENGA KUPIGA POROJO NA KUCHOKOZA.
NIMEPATA PICHA KUWA KUMBE KUNA WATU WANAOJIITA ETI WAKO NJE YA NCHI KUMBE HATA KWENYE KUFIKIRI WAPO OUT OF MIND
**HAKUNA ALOWAHI KUWEKA HISTORIA YA UNAFKI NA KUKUMBUKWA**
 
Hivi kumbe bado hawajakupeleka hospitali? nimesikia umechanganyikiwa baada ya Kontena lako kubananishwa pale bandarini.. Pole. subiri hiyo 2015 uone kama hujaandikiwa Invoice ya kodi ya maana ukimbilie Ireland kujificha. Umerudi CCM ili ukwepe kodi..Pole
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom