Serikali ifike mahali ikiri kwamba Elimu bure haiwezekani

likuti

New Member
Dec 11, 2023
2
3
Ni miezi sasa shule hazijapata ruzuku za elimu bila malipo. Kama walivyokiri kukosea kuweka hq ya mwendokasi jangwani na huku kwenye elimu bure wakiri kwamba hawakujipanga, warudishe utaratibu uliokuwepo kabla hawajaivaa sera ya Mzee Lowasa kuliko kuzalisha madeni ambayo wakuu wa shule wanahangaika nayo.
 
waweke hata tsh. 2000 kwa mwezi itafaa sana shule zijiendeshe

2000 kwa sm
3000 kwa sc


sio mbaya
wameshindwa kuziendesha

wanakopa
wanakusanya kodi
wanapata misaada
lakini wapiiiii


saiv hata mizigo kutoka bot haishuki kwa wakati
pengine hazina haina hazina
 
Back
Top Bottom