Serikali ifanye haya kutokomeza mimba za utotoni. Kuwafunga watu miaka 30 siyo suluhisho

sheria za wanadamu ni dhaifu.
Mzinifu mwanaume na mzinifu mwanamke wachapwe viboko mia moja kila mmoja bila huruma.
Tatizo watu mnafanya biashara za magesti na mabaa.
 
nimependa hiyo ya kupima bikra maana upo uwezekano wa kuongeza dau la mahali kwa wale watakao jilinda mpaka hatua ya kuolewa na ikiwezekana ziwepo tuzo maalumu za heshima
 
Mimi Kwa hili ndio nalishangaa Bunge Letu loh sijui Mungu ametunyima nini katika uwezo wetu wa kupanga na kuhukumu mambo ya hapa duniani! Fikiria Mabadiliko katika miili ya wanadamu ni jambo la kawaida, Vijana chini ya miaka 25 Miili bado inachemka na hii yote ni uumbaji!! Namna ya kuzuia labda ni kuhamasisha na kuwapa elimu ya kutosha!! Kumfungia kijana anayeanza maisha miaka thelasini (30) Kisa alifanya mapenze na mwenzie akapata ujauzito hili linaingia akilini kweli?? Sasa sawa ni kifungo je mahakama inatoa maelekezo kile kiumbe kitalelewa na nani baada yakumfunga mwenye kukileta? Mimi ninachokiona yote haya yanafanya mambo kuwa magumu baada ya huyo binti kupata ujauzito ambao athari zake ni Mbaya sana kwa binti mwenye mtoto na mtoto mwenyewe!! Ila najua wakubwa wanapindisha sheria ila hili linaweza kumkuta mtoto wa yeyote si mbunge wala mfanyabiashara ila nashauri sheria ziwe za kuonya na sio kukomoa kwa kosa dogo kama hilo!!
 
Mtoto kazaliwa halafu mnamfunga baba yake miaka 30? Mnakuwa na huruma kwa binti aliyebeba mimba lakini hakuna huruma kwa mtoto anayezaliwa ambaye kimsingi hana kosa lolote. Miaka 30 mnaifahamu au mlikurupuka? Nani atamlea mtoto huyo? Pili kama binti anarudi masomoni baada ya kujifungua, kosa la aliyempa mimba linakuwaje, yaani na uzito gani? Leo mnifahamishe, hivi kumbe kubeba mimba si kosa, kosa ni kuweka mimba? Je, wakipeana mimba watoto wa umri mdogo, wa kike na kiume inakuwaje????

Mtoto kazaliwa halafu mnamfunga baba yake miaka 30? Mnakuwa na huruma kwa binti aliyebeba mimba lakini hakuna huruma kwa mtoto anayezaliwa ambaye kimsingi hana kosa lolote. Miaka 30 mnaifahamu au mlikurupuka? Nani atamlea mtoto huyo? Pili kama binti anarudi masomoni baada ya kujifungua, kosa la aliyempa mimba linakuwaje, yaani na uzito gani? Leo mnifahamishe, hivi kumbe kubeba mimba si kosa, kosa ni kuweka mimba? Je, wakipeana mimba watoto wa umri mdogo, wa kike na kiume inakuwaje????
 
sheria za wanadamu ni dhaifu.
Mzinifu mwanaume na mzinifu mwanamke wachapwe viboko mia moja kila mmoja bila huruma.
Tatizo watu mnafanya biashara za magesti na mabaa.
Kuna haja ya kubadili shelia kwani hiyo ya viboko imepitwa na wakati nadhani ni maonitu mm binafsi adhabu zimekuwa malanyi zina waangukia wanaume tu nadhani kama mwanaume na mwanamke wakiadhbiwa wate basi tatizo lita pungua
 
Akishafunja ungo ina maana kubeba mimba ni haki yake.
Heshimu mabadiliko na miili yetu.
 
Kuna haja ya kubadili shelia kwani hiyo ya viboko imepitwa na wakati nadhani ni maonitu mm binafsi adhabu zimekuwa malanyi zina waangukia wanaume tu nadhani kama mwanaume na mwanamke wakiadhbiwa wate basi tatizo lita pungua
Kwa hiyo adhabu mbadala ya viboko iwe nini?
 
Attachments

  • FB_20161102_14_15_48_Saved_Picture.jpg
    FB_20161102_14_15_48_Saved_Picture.jpg
    33.7 KB · Views: 156
Hahaha periodic pregnancy testing imenikumbusha kipindi nasoma shule flani hivi walikua wanatukurupua tu kila baada ya miezi kadhaa wanatupima ujauzito kwa mikono,wapo baadhi ya mabinti waligundulika kwa style hio wakarudishwa nyumbani mara moja,
kurudishwa watoto wa kike nyumbani kisa mimba ni kumnyima mtoto haki yake ya elimu,, kwa nn msichana asizae alafu aruhusiwe kuendelea na masomo??
 
mimba za utotoni limekuwa janga la kitaifa ni kweli ukuwafunga nikuwa na mayatima na kuongeza watoto wa mtaani
 
sio watoto wa umri wa chini ya miaka 18
Kwanza ujue anaepata mimbi sio mtoto huyo ujue kuwa mkubwa mada yao ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari
 
Hahaha periodic pregnancy testing imenikumbusha kipindi nasoma shule flani hivi walikua wanatukurupua tu kila baada ya miezi kadhaa wanatupima ujauzito kwa mikono,wapo baadhi ya mabinti waligundulika kwa style hio wakarudishwa nyumbani mara moja,

Sijaelewa wanapimaje kwa mikono!! Wanaingiza mikono kule au?! Naomba kueleweshwa.
 
Back
Top Bottom