SERIKALI iache kutapatapa...BAJETI ni mbovu!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Bajeti gani itengenezwe na kusimamiwa na vikundi vinne tofauti? Kwanza ilianza na Wizara ya Fedha chini ya Waziri Dr.William Mgimwa. Pili,Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Fedha na Uchumi.Tatu,Kamati Maalum ya Wabunge wa CCM.Na nne,jana Waziri Mkuu ameunda Kamati Maalum ya Mawaziri 'kuitengeneza' bajeti hiyohiyo.This is too much.It is absurd!(na sifuti kauli yangu)

Serikali gani sikivu ingefanya jitihada kama hizi za kuhakikisha Bajeti mbovu inapita? Kama kitu kina kasoro,si kitolewe kikarekebishwe kwanza Wizarani? Serikali iache kutapatapa na kuendelea kutapanya fedha za umma kwa Kamati zisizo na tija. Bajeti ni mbovu na iondolewe Bungeni ikatengenezwe upya...
 
Mkuu, Kuna kitu naendelea kuichunguza hapa, hiyo Kamati ya wabunge wa CCM inatambulika kwenye Katiba ya CCM?
 
Back
Top Bottom