Serikali hii imezidi usikivu.

tocolyitics

Member
Feb 5, 2012
76
35
Jamani watanzania tusilalamike sana maana tuliichagua wenyewe hii serikali sikivu. sasa inavyozidisha usikivu kwa kusikiliza mawazo yote hata ya kijinga na yasiyo na busara tusilalamike.Usikivu huu huu ndio unaifanya ikose maamuzi maana inapata mawazo mengi zaidi yakiwemo yasiyo na busara hata kidogo lakini inakuwa ngumu kutambua ichukue yapi ili itatue matatizo, inajichanganya na inapaparuka na kuishia kufanya siasa na ukatili. Mungu atakusaidia na utapona Dr. ULIMBOKA.
 
Back
Top Bottom