Translator and 97 others
Member
- Oct 8, 2020
- 46
- 98
hizi siasa za kutuaminisha eti mnakopa ma trioni kwa ajili ya miradi ya maendeleo na kujifanya hamuoni hali zetu sisi tuliozingatia kitabu kama mlivyotuagiza ni uzandiki mtupu.
Leo hii tunaonekana kama mizigo kwa wazazi na ndugu nyie mko bize kulumbana kisa uchu wa madaraka, tunakoelekea tutakuwa tukikutana na viongozi tunapiga mawe mpaka kufa kama sheria za wayahudi wa zamani maana sheria mnazotunga zinawalinda wenyewe ili tusiwaguse, kuna faida gani kuendelea kuzalisha kundi la wasomi na kuwatelekeza.
Nchi ina gesi, madini, vivutio vya utalii, tozo, mikopo na misaada kibao, lakini wahitimu wanaachwa kana kwamba sio wale mnaowapa vipaumbele kwenye sera zenu wanapokuwa shuleni.
tufike mahali tuache kujisahau, fukuto la chuki mnalolijaza kwetu hakika halitawaacha salama.
"when I grow up I will carry a gun" remains my all time favourite line among the lines I have learned in school.
CCM is corrupt
CDM wana tamaa iliyokithiri ya uchu wa madaraka kiasi cha kulichukua fisadi eti wamelitakasa kuwawakilisha kwenye uchaguzi kisa lina upepo wa kisiasa
vyama vingine vya kisiasa, sio tu havina nguvu, vinatumika kama mitaji ya kisiasa kwa chama tawala.
Ndugu wahitimu, amkeni acheni kulia ndani ya moyo, wanatuambia tuigeuze elimu kuwa hela huku wao wakiwa wanategemea mishahara kupitia kodi zetu ni zaidi ya kututukana tena matusi ya nguoni.
kazi za wahitimu;
1)kuuza movie
2)kuuza liquid protector
3)kuuza pedi za kufua
4)kutumika madukani kwa ndugu na wazazi (wachache)
5)kujiuza (wanaita kudanga)
kuuza juice
6)kulima small scale agriculture kwa sababu ya mitaji midogo
7)wizi
na nyingine kibao ambazo hazina hadhi ya elimu waliyo nayo.
serikali ikitangaza ajira utasikia "awe na uzoefu kazini kianzia miaka miwili" kwa kazi gani mlizo tupatia? Hakika wanasiasa wametudharau sana ni wakati sasa wa kuwakataa na tamaa zao za kujifaidisha wao na koo zao.
"Mungu awatembelee mmoja baada ya mwingine, awafundishe kula kwa jasho kama watu wengine"_kwa sauti ya kala jeremiah.