Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,056
- 7,290
Kwa uelewa wangu unazungumzia case moja inayowez kutokea mara chache sana. Tatzo la foleni sio njia nne Hatakam ukijenga njia nane Dar nzima bado factor za foleni ztabaki constant je traficlights, roundbout interaction znaruhusu flow of vehicle kwa haraka kwa muda mchache na katika direction zote so kutibu tatizo ndiposa Tanroads waje na mkakati madhubuti wa madaraja mfano Ubungo baada ya kujenga daraja foleni haipo tena je kuna njia nane pale?Hamna .Nenda Msimbazi Watu wamekwepa hiyo barabara, Sasa Kuna changombe keko, Sijui ikianza KAZI itakuwaje, watakuwa wameongeza tatizo Kwani njia Ina Malori sana na hakuna Mbadala, Sasa tatizo hilo Hilo wamelileta Tabata, Mikocheni to kawe from Morocco, Mandela road inatakiwa njia Sita, wao wameruhusu njia nne ziendelee, this is Madness with Tanroads, unajenga barabara huna emergency Parking ya lorry bovu with cost na unafikiria Hawa Watu wanataka kupunguza foleni!! My poor Country, my poor Tanroads, always crying for their poorly planning