Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,144
Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara yao wanaiona ila hawana namna. Matumaini yanazidi kufa kila ukifika Kimara kuelekea ubungo baada ya kukutana na foleni kali kuanzia stop over, na unabaki unashangaa kivipi barabara 3 zinakua finyu tena kuelekea mjini. Anyway wabongo akili zishaanza kukaa sawa
 
Tumuulize waziri wa fedha...

Kuna mahali nilisoma kuwa hawana fedha....

Kuna kile kipande cha kigogo to msimbazi centre kwenye BRT 2 sijui kunaendelea nini..
 
Kuna mtu aliniambia haya hayamshangazi kabisa, kuna watu huenda club, lakini unakuta naye anashindana na spika za club kupiga kelele.
Acheni kupiga kelele fanyeni maamuzi.
 
Nilipita hiyo njia miaka 3 iliyopota hadi leo iko ivo ivo ...maeneo mengine naona nyasi zimeota na zingine zimeguzwa dampo..why hiyo njia mwendo kasi haitiumiki shida nn?
 
Kwavile uchaguzi unakaribia mkandarasi ataanza kugusagusa hivi karibuni
 
Kuna mtu aliniambia haya hayamshangazi kabisa, kuna watu huenda club, lakini unakuta naye anashindana na spika za club kupiga kelele.
Acheni kupiga kelele fanyeni maamuzi.
Mkuu hapa nimekuelewa kwa sauti
 
Wangejenga vibanda wananchi wajikinkinge na mvua.Kweli nimeami watu weusi siyo binadamu kamili.
 
Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara yao wanaiona ila hawana namna. Matumaini yanazidi kufa kila ukifika Kimara kuelekea ubungo baada ya kukutana na foleni kali kuanzia stop over, na unabaki unashangaa kivipi barabara 3 zinakua finyu tena kuelekea mjini. Anyway wabongo akili zishaanza kukaa sawa
Mm mpka sasa bado najiuliza stand za mwendokas zitakuwa wap
 
Hakuna vituo katikati, kwa taarifa ni kuwa bus la mwendokasi litakua linatoka njia yake linakuja kupakia kwenye vituo vya kawaida vya daladala halafu linarudi tena njia yake
 
Tumuulize waziri wa fedha...

Kuna mahali nilisoma kuwa hawana fedha....

Kuna kile kipande cha kigogo to msimbazi centre kwenye BRT 2 sijui kunaendelea nini..
Pale maji yanapita juu bondeno pale, only requires special designs
 
Hakuna vituo katikati, kwa taarifa ni kuwa bus la mwendokasi litakua linatoka njia yake linakuja kupakia kwenye vituo vya kawaida vya daladala halafu linarudi tena njia yake
Plan ya mwendokasi haihusu barabara hiyo, Mkandarasi alijiongeza bila plan na kuweka mfano WA barabara ya mwendokasi ila Sio plan halisi, hii barabara imejengwa bila michoro husika na Ina mapungufu mengi ya kiuhandisi
 
Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara yao wanaiona ila hawana namna. Matumaini yanazidi kufa kila ukifika Kimara kuelekea ubungo baada ya kukutana na foleni kali kuanzia stop over, na unabaki unashangaa kivipi barabara 3 zinakua finyu tena kuelekea mjini. Anyway wabongo akili zishaanza kukaa sawa
Taa zanini kwani sisi huku ni madobi.
 
Watarudi mwakani 2024 mambo ya uchaguzi yakianza kupamba moto...

Barabara ina sehemu ya BRT katikati lakini sijaona kama ina kotuo cha mabasi hapo katikati...😇
 
Hakuna vituo katikati, kwa taarifa ni kuwa bus la mwendokasi litakua linatoka njia yake linakuja kupakia kwenye vituo vya kawaida vya daladala halafu linarudi tena njia yake

Kuna huu ujinga wamefanya huwa natazama, naishia kusema tu hayanihusu...
 
Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara yao wanaiona ila hawana namna. Matumaini yanazidi kufa kila ukifika Kimara kuelekea ubungo baada ya kukutana na foleni kali kuanzia stop over, na unabaki unashangaa kivipi barabara 3 zinakua finyu tena kuelekea mjini. Anyway wabongo akili zishaanza kukaa sawa
Hata kivuko cha watembea kwa miguu (daraja) kuingia Magufuli stand hakuna taa, usiku ni tabu tupu
Kuna mitaa imegeshwa inatia aibu.

Magufuli stand ujenzi haujakamlilka kama ilivyopangwa, mwamba angekuwepo mambo yasingekuwa hivi
 
Back
Top Bottom