Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,390
- 21,043
Hii series bado ni mpya
hicho chuma vipi ni kikali ili weekend hii nikitafuteSpecial OPS LIONESS💣
nasubiri zote zitoke niianzespecial ops:lioness ya moto sana ,episodes 3 zishatoka!
episode zipo 6Hiv jack Ryan season 4 washatoa episodes ngap...nimedownload mbili napata uvivu kuzianza!
Kwa episodes nlizozionahicho chuma vipi ni kikali ili weekend hii nikitafute
Najuta kuchelewa kuangalia The Witcher ila sijutii sana maana nimeweza kuangalia zote 3 mfululizo.... nasubiri muendelezo.
Season inayofuata Geralt of Rivia hatokuwepo ambaye ni main character Witcher mwenyewe.Najuta kuchelewa kuangalia The Witcher ila sijutii sana maana nimeweza kuangalia zote 3 mfululizo.... nasubiri muendelezo.
Ni drama?Hongera though bado S3 sijaicheki ila iko poa sana,vipi umeicheki The Only Murderers in the Building
Hapana hiyo sijaicheki,Hongera though bado S3 sijaicheki ila iko poa sana,vipi umeicheki The Only Murderers in the Building
Yeah nimeona hiyo na nimesikitika sana, kuna uwezekano wakapoteza mashabiki, maana watu wamechachamaaSeason inayofuata Geralt of Rivia hatokuwepo ambaye ni main character Witcher mwenyewe.
Ni drama?
Hapana hiyo sijaicheki,
Nitaitafuta, i hope ni nzuri
Mm ndiyo washanipoteza niliacha kuangalia Strike Back hivi hivi kubadilishiwa character.Yeah nimeona hiyo na nimesikitika sana, kuna uwezekano wakapoteza mashabiki, maana watu wamechachamaa
We acha tu, ile bond ya douta na faza, bond yake na Yennefer sidhan kama huyu bwana Liam ataweza kuitengeneza na mashabiki tukaridhikaMm ndiyo washanipoteza niliacha kuangalia Strike Back hivi hivi kubadilishiwa character.
Acha tu, sauti yake ilikua inanikosha,Sauti yake tu kwanza alafu ule userious wake haongei mara mbili alafu hachekeshi
Thor kawaambia Marvel kuwa character yake sio ya kuchekesha yeye ni mtu strong wakimpa story za mapenzi tena akama kwenye Love and Thunder ataacha kuigiza.Acha tu, sauti yake ilikua inanikosha,
Namuona Thor huyu hapa japo Thor ana comedy
Bora aiseee wampe uhusika wake halali sio kumfanya katuni.Thor kawaambia Marvel kuwa character yake sio ya kuchekesha yeye ni mtu strong wakimpa story za mapenzi tena akama kwenye Love and Thunder ataacha kuigiza.
Kuna hii hapa pia kama unapenda comicsBora aiseee wampe uhusika wake halali sio kumfanya katuni.