Series (Special thread)

Drug dealer mmoja anaitwa Santo anatafutwa na serikali za uhispania na El Salvador ana tumia damu ya watoto kunywa ili asikamatwe na vyombo vya Dola ...
Japo hua sio shabiki sanaa wa movies za hao drug dealers ila nitaiangalia
 
Niko hapa nimemaliza Season 2 episode 2, sijui niandike nini?? maana walio kuja na bus imekula kwao kingine ubishi sio mzuri wenzako wako ndani wewe unakimbia nje au una lala kwenye gari maana yake nini???
Ila kuna sijaelewa yule mzee anaitwa Martin aliwezaje kutupa kamba kwenye shimo???? wakati alkuwa amefungwa
 
Mkuu unaeleza as if wote tunajua hiyo movie ebu tujue unazungumzia movie ipi?
 
Aisee nilijiuliza pia ila nikakumbuka kuna miti ina shimo ukiingia unatokea inakotaka yenyewe... Mambo mengi huwezi elewa ni mystery mwanzo mwisho.
Labda aliipiga teke ile kamba ikaingia shimoni.
Niko hapa nimemaliza Season 2 episode 2, sijui niandike nini?? maana walio kuja na bus imekula kwao kingine ubishi sio mzuri wenzako wako ndani wewe unakimbia nje au una lala kwenye gari maana yake nini???
Ila kuna sijaelewa yule mzee anaitwa Martin aliwezaje kutupa kamba kwenye shimo???? wakati alkuwa amefungwa
 
“They touch, they break, they steal. No one here is free. Here they come, they come for three. Unless you stop the melody.”.

Boyd akisikia melody au music box anachanganyikiwa mbaya.
 
Nilivyo sio mzuri wa kuelezea sasa
Yaan ni Mazombie lakini Mazombie yao sio Virus ni Fungas, kwa hiyo mji wote unapata hilo janga, waliopona waliwekwa sehemu ili wasiambukizwe,
Sasa kuna binti anaitwa Ellie yeye damu yake inasadikika ni cure wa hiyo fungas maana aling'atwa hakubadilika kwa hiyo jamaa anaitwa Joel anapewa kazi ya kumpeleka kwenye military hospital ili binti achukuliwe sample, hadi kufika hapo sio route ndogo ni purukushani nyingi wanazipitia hatimae wanafika na kugundua kumbe binti anatakiwa afe, yule mzee anakataa kukubali hiyo kitu anamtorosha na kuua wanajeshi wote..... Tunasubiri ssn 2 tujue hatma yao.
Season 2
Joel atauwawa, ellie atarevenge kifo cha joel
Nshamaliza kucheza kwenye PS4
 
Season 2
Joel atauwawa, ellie atarevenge kifo cha joel
Nshamaliza kucheza kwenye PS4
Wewe unasema season 2 wakat mzigo unatabiriwa kwenda mpka season 5 maana mapokeo ya mashabiki ni makubwa na HBO wenyew wapo tayar kutoa kitita ili mzigo uendelee wapige faida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom