Series (Special thread)

Nani anaiangalia FROM?
Nipo excited sana what next kwenye ep 9 Donna kayakanyaga.
Yes it's a new plan
Ila nimemiss sana yule smiley creature ila kuna watu wanajua aise
IMG_20230615_191239.jpg
 
Horror yenye akili

Hii series iko Poa Sana. Sema naona tutegemee season 3.

Maswali mengi sana hayawezi yote kujibiwa ndani ya episode 2 zilizobaki.
Yani imetulia sana, tutegemee season kibao tu Je ile bile itafanya kazi kuwaua hao creature na Je! Hata kama watakufa watafanikiwa kutoka hicho kijiji
 
Yes it's a new plan
Ila nimemiss sana yule smiley creature ila kuna watu wanajua aiseView attachment 2658915
Mwamba huyu hapa,
Sikupenda kabisa walivyomuua, nilitamani abaki hadi mwisho, nakumbuka lile bus lilivyoingia kuna wazee waligoma kulala dinner wakalala ndani ya bus, mwamba akaja wazee wa watu wakashukuru kuona mtu wakijua anawasaidia akawaambia "you picked a bad spot" huku anacheka akawala, dah!
 
Nmekupenda bure,kumbe na wewe unafuatiria mzigo wa from,chukua maua yako.
 
Yani imetulia sana, tutegemee season kibao tu Je ile bile itafanya kazi kuwaua hao creature na Je! Hata kama watakufa watafanikiwa kutoka hicho kijiji
Hapa nimeona kuna supernatural wengine ambao hao ndio kiboko sasa, wameanza kuwatokea hadi kwenye ndoto rejea ya Eugine kuzamishwa kwenye bathtub na Kenny kung'atwa na wadudu na yale mauza uza aliyokua anayaona Boyd kibox cha muziki kinalia, yule mzee aliyempa damu yake,

Mambo ni mengi sanaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom