Series (Special thread)

Tunaweza tukatofautiana kwenye taste ndio maana nimekuomba unipe short story kuhusu hiyo series ili nione ni Kali au lah
Ila kweli taste tunatofautiana sana huwezi amin Kadeiloscop ninayo tangu imetoka ila nimeangalia episode moja tu mpk sasa....nikikosa series nitaangalia taratibu...
Currently Nacheki
Will trent
From
Shrinking
Citadel
Rabbit hole
 
Outer banks
Citadel
Rabitt hole
The temirnal list
Sweet tooth
Reacher
True Lies
Evil Genius
Kaleidoscope
Andor
Echo
Labrea
From
Limitless
Wheel time

Sereis kali hizi kwa upande wa mimi

Thread wapwa dondoshen zenu
Kati ya hizo ulizo taja ipi yenye ladha ya the teminalist na cidasel?
 
Tunaweza tukatofautiana kwenye taste ndio maana nimekuomba unipe short story kuhusu hiyo series ili nione ni Kali au lah
Ungeangalia trela youtube ukate kiu yako. Inaonekana wewe sio mpenzi wa series maana unauliza uliza sana.

Wapenzi wa series hawa wawe na taste zao ila kwenye series zenye actions na misheni za kijasusi huwezi kuwabandua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom