donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,568
whisky cavalier
Hata Mimi nlihisi hakufa maana zile gun alipigwa kifuani afu alikuwa amevaa bullet proof vestTrailer ya Money Heist nimemuona Berlin, kumbe hakufa huyu jamaa
Hii kisanga sjaielewa mkuu. Inahusu nini.whisky cavalier
Kwani Ina S3!??Trailer ya Money Heist nimemuona Berlin, kumbe hakufa huyu jamaa
July 19Kwani Ina S3!??
Kwani Ina S3!??
S03 inatoka Lin mkuu
Imeandikwa hapo chini ya videoS03 inatoka Lin mkuu
PoaImeandikwa hapo chini ya video
ni July 19
Netflix wamealibu sana kuingiza ushogo imenishinda kwa kweliDesignated Survivor tayari mzigo wote uko kwa hewa
Cjakupata mkuu, hii series ina ushoga shoga ndan au, nimechk season one epsode moja tuNetflix wamealibu sana kuingiza ushogo imenishinda kwa kweli
Dah nimesikitika sana aisee kuingiza izo mambo ya ushoga,Netflix ndo michezo yao iyoNetflix wamealibu sana kuingiza ushogo imenishinda kwa kweli